Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
OkaySawa Mrs Mshana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkaySawa Mrs Mshana
Mbowe ni jabali la siasa za upinzani Tanzania
Huyo hashauriki.Inashangaza, inasikitisha na inaudhi kuwa pamoja na kushauri, kuonya na kutoa tahadhari kwa nia njema kabisa kuhusu mustakhabali wa taifa hatukusikilizwa...tulipuuzwa!
Najitokeza tena kumshauri Mh. F. A. Mobwe kuwa leo hii na bila kuchelewa achukue maamuzi mazito kuliko yote aliyowahi kuchukua maishani ya kutogombea uenyekiti Chadema.
Atangaze kuachana na wapambe maslahi waliomganda kama kupe aungane na wazalendo wa kweli kwa kuwaunga mkono wapiganaji wa kweli Mh. Tundu A Lissu na Mh John Heche.
Chelewa chelewa utakuta mtoto si wako.