Umeandika ujingaInashangaza, inasikitisha na inaudhi kuwa pamoja na kushauri, kuonya na kutoa tahadhari kwa nia njema kabisa kuhusu mustakhabali wa taifa hatukusikilizwa...tulipuuzwa!
Najitokeza tena kumshauri Mh. F. A. Mobwe kuwa leo hii na bila kuchelewa achukue maamuzi mazito kuliko yote aliyowahi kuchukua maishani ya kutogombea uenyekiti Chadema.
Atangaze kuachana na wapambe maslahi waliomganda kama kupe aungane na wazalendo wa kweli kwa kuwaunga mkono wapiganaji wa kweli Mh. Tundu A Lissu na Mh John Heche.
Chelewa chelewa utakuta mtoto si wako.
Ila umeusoma na ukatoa commentUmeandika ujinga
Ni upumbavu wa kufungulia mwakaIla umeusoma na ukatoa comment
Shusha sketi sindano iingieUmeandika ujinga
Akifanya hivyo Tanzania itapata upinzani wa kweli unaojali maslahi ya Tanzania.Atangaze kuachana na wapambe maslahi waliomganda kama kupe aungane na wazalendo wa kweli kwa kuwaunga mkono wapiganaji wa kweli Mh. Tundu A Lissu na Mh John Heche.
Mbowe anajiona 'Angela Merkel' wa Chadema.Inashangaza, inasikitisha na inaudhi kuwa pamoja na kushauri, kuonya na kutoa tahadhari kwa nia njema kabisa kuhusu mustakhabali wa taifa hatukusikilizwa...tulipuuzwa!
Najitokeza tena kumshauri Mh. F. A. Mobwe kuwa leo hii na bila kuchelewa achukue maamuzi mazito kuliko yote aliyowahi kuchukua maishani ya kutogombea uenyekiti Chadema.
Atangaze kuachana na wapambe maslahi waliomganda kama kupe aungane na wazalendo wa kweli kwa kuwaunga mkono wapiganaji wa kweli Mh. Tundu A Lissu na Mh John Heche.
Chelewa chelewa utakuta mtoto si wako.
Boksi la kura litaamuaInashangaza, inasikitisha na inaudhi kuwa pamoja na kushauri, kuonya na kutoa tahadhari kwa nia njema kabisa kuhusu mustakhabali wa taifa hatukusikilizwa...tulipuuzwa!
Najitokeza tena kumshauri Mh. F. A. Mobwe kuwa leo hii na bila kuchelewa achukue maamuzi mazito kuliko yote aliyowahi kuchukua maishani ya kutogombea uenyekiti Chadema.
Atangaze kuachana na wapambe maslahi waliomganda kama kupe aungane na wazalendo wa kweli kwa kuwaunga mkono wapiganaji wa kweli Mh. Tundu A Lissu na Mh John Heche.
Chelewa chelewa utakuta mtoto si wako.
Ndivyo tulivyomshauri lakini hakutilia maanani.Akifanya hivyo Tanzania itapata upinzani wa kweli unaojali maslahi ya Tanzania.
Hiyo haina shida, atangaze tu kuungana nao!Shida ni asali, Ataweza kweli kurudisha asali aliolambishwa na Mama Abdul?
Ndivyo tulivyomshauri lakini hakutilia maanani.
Hiyo haina shida, atangaze tu kuungana nao!
Nadhani siku zilizobaki kabla ya uchaguzi zinatosha kubadili mambo ndani ya Chadema. Busara ikitumika na FAM akakubali yaishe akajitoa na kumuunga mkono Lissu siyo tu kwamba itaondoa mgogoro bali itaifanya Chadema kuwa imara kuliko siku zote, FAM atakuwa shujaa wa demokrasia na ataenziwa daimaMbowe keshakula pesa za watu muacheni aibu imkute