Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

Tapeli Mwandamizi umekuja Kuutetea Ugali wako na Kuwatapeli pia Matapeli Wenzako. Heko!!!
 
[emoji16][emoji16][emoji16] idea debator, bhana sijui nisemaje ila jamaa wamekomba ma boom ya wanafunzi mbaya mbovu aisee..

Mimi mwenyew wamenila kichwa japo niliweka Tsh 10000=/ kam mtaji..


Sent from my BAC-L21 using JamiiForums mobile app
Kwa Uandishi wako tu unaonekana ni Mbwiga ( Mshamba ) hivyo umestahili 'Kupigwa' huko na hao Jamaa ili Mkome pia.
 
Serikali iwachukulie hatua haraka hawa jamaa,maana ITV walirusha kipindi maaulumu kuonyesha maisha ya hao vijana waliojiingiza kwenye huu utapeli,kwakweli ni utapeli mtupu...
 
Sisi tunaendelea 'kudanilodi' hela, nyie mafukara endeleeni kubwabwaja tu….. kazi yenu halali ni kulima na kuwinda kama sio kufuga.
Laana itawatafuna tuu...cjui hii dhambi mtaitubu wapi?? Mnatuma watoto wa watu wakauze saa Mil 3?!! Tena mtaani!!..wakija shtuka wamepigwa wanachanganyikiwa mpaka barabara ya vumbi wanavushwa na watoto wa chekechea..!!!!😎😎😎
 
na ukigoma kama ulivyogoma ww, mtu anakununia!hahaha hata mm mke wangu kanuniwa na rafiki yake kisa aligoma kuingia humo!akaanza kumwambia kuwa hapendi maendeleo yake maana anajua akiingia yy atapata hela zaidi maana kaingiza mtu etc!yaani wamesababisha watu wanagombana mitaani
 
Laana itawatafuna tuu...cjui hii dhambi mtaitubu wapi?? Mnatuma watoto wa watu wakauze saa Mil 3?!! Tena mtaani!!..wakija shtuka wamepigwa wanachanganyikiwa mpaka barabara ya vumbi wanavushwa na watoto wa chekechea..!!!!😎😎😎
Ukweli mnaojaribu kujisahaulisha ni kwamba 'mafanikio' sio kwa ajili ya kila mtu, zaidi ya 80% ya watu duniani ni mafukara wa kutupwa….. ni rahisi zaidi kuwa kundi hilo kuliko kule kwingine.
 
Uko sahihi sana Mkuu, kinachoumiza zaidi kichwa ni jibu la swali, nani alipaswa kurudishwa kwao kati ya Q-Net na wanachama wake?

Nadhani ni muda sahihi wa Serikali na vyombo vyake kulitazama hili kwa umakini zaidi.
 
Utapeli tuu, eti mtu anaambiwa atoe 5 milioni na product anayopewa ni ka mashine ka kusafisha maji!! Really??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…