GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Nimedinya sana Wake za Watu kwa Kuwapeleka ( Kuwaunganisha ) huko tena katika ile Ofsi yao Maarufu ya pale Sinza!!!!Na wasichana wanatafunwa kwa staili ya mdonoano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimedinya sana Wake za Watu kwa Kuwapeleka ( Kuwaunganisha ) huko tena katika ile Ofsi yao Maarufu ya pale Sinza!!!!Na wasichana wanatafunwa kwa staili ya mdonoano
Tapeli Mwandamizi umekuja Kuutetea Ugali wako na Kuwatapeli pia Matapeli Wenzako. Heko!!!Biashara ya Neteork Marketing ha work kwa nchi masikini lazima ionekane ni utapeli, Qnet kama Qnet wapo sana shida Model yao kwa nchi masikini haofanyo kazi, ni the same na Folever living, GNLD na wengineo, Mfano ilianza GNLD wakashindwa wakaondoka lakini kampuni bado ipo na wana product kibao zinauzwa hata Tanzania na tunazitumia sana kama ile mbolea yao
'Popoma' kama hilo litaachaje Kutapeliwa Mkuu? Unauliza Mikasi Leba?Kumbe mpaka kigwangala ametapeliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Miguu.Sijaelewa waanza kurejeshwa makwao walikujaje hapa dar?
Nafurahi sana 'Miswahili' iliyo 'Mipopoma' inavyopigwa.Kuna nyngine wanijiita idea debator watu wamepgwa saNa sku mbili hiz🤣🤣🤣😁
Kwa Uandishi wako tu unaonekana ni Mbwiga ( Mshamba ) hivyo umestahili 'Kupigwa' huko na hao Jamaa ili Mkome pia.[emoji16][emoji16][emoji16] idea debator, bhana sijui nisemaje ila jamaa wamekomba ma boom ya wanafunzi mbaya mbovu aisee..
Mimi mwenyew wamenila kichwa japo niliweka Tsh 10000=/ kam mtaji..
Sent from my BAC-L21 using JamiiForums mobile app
Asilimia kubwa graduates wanapiga huoni kama hawana kitu kichwani wacha wapigwe nayaona status na quotes zao za kishamba wanajiona wanajua Maisha wacha wapigweKweli kabisa na Mimi nafurahi mno wanavyopigwa Wapuuzi wakubwa hawa/ Hivi kuna 'Good Morning' ya Saa 7 Mchana?
Wakisema unasikia Good Morning lakini wanasema ''Good More Earning''Kweli kabisa na Mimi nafurahi mno wanavyopigwa Wapuuzi wakubwa hawa/ Hivi kuna 'Good Morning' ya Saa 7 Mchana?
Laana itawatafuna tuu...cjui hii dhambi mtaitubu wapi?? Mnatuma watoto wa watu wakauze saa Mil 3?!! Tena mtaani!!..wakija shtuka wamepigwa wanachanganyikiwa mpaka barabara ya vumbi wanavushwa na watoto wa chekechea..!!!!😎😎😎Sisi tunaendelea 'kudanilodi' hela, nyie mafukara endeleeni kubwabwaja tu….. kazi yenu halali ni kulima na kuwinda kama sio kufuga.
na ukigoma kama ulivyogoma ww, mtu anakununia!hahaha hata mm mke wangu kanuniwa na rafiki yake kisa aligoma kuingia humo!akaanza kumwambia kuwa hapendi maendeleo yake maana anajua akiingia yy atapata hela zaidi maana kaingiza mtu etc!yaani wamesababisha watu wanagombana mitaaniKuna rafiki wa miaka mingi alikuwa huko. Akanishawishi sana kujiunga nikawa namkwepa. Siku nikaamua kwenda kuonana nao ofisin kwao.
Nikagundua n utapeli mtu, pesa kupata mpaka umshawishi nawe mtu wa kujiunga. Kiingilio n 5M.
Nikamwambia jamaa huo n utapeli. Sitaki kuingia huko. Kaninunia mpaka leo
Ukweli mnaojaribu kujisahaulisha ni kwamba 'mafanikio' sio kwa ajili ya kila mtu, zaidi ya 80% ya watu duniani ni mafukara wa kutupwa….. ni rahisi zaidi kuwa kundi hilo kuliko kule kwingine.Laana itawatafuna tuu...cjui hii dhambi mtaitubu wapi?? Mnatuma watoto wa watu wakauze saa Mil 3?!! Tena mtaani!!..wakija shtuka wamepigwa wanachanganyikiwa mpaka barabara ya vumbi wanavushwa na watoto wa chekechea..!!!!😎😎😎
Na kwa asilimia 100 Q Net inachochea ufukara...Ukweli mnaojaribu kujisahaulisha ni kwamba 'mafanikio' sio kwa ajili ya kila mtu, zaidi ya 80% ya watu duniani ni mafukara wa kutupwa….. ni rahisi zaidi kuwa kundi hilo kuliko kule kwingine.
Utapeli tuu, eti mtu anaambiwa atoe 5 milioni na product anayopewa ni ka mashine ka kusafisha maji!! Really??Biashara ya Neteork Marketing ha work kwa nchi masikini lazima ionekane ni utapeli, Qnet kama Qnet wapo sana shida Model yao kwa nchi masikini haofanyo kazi, ni the same na Folever living, GNLD na wengineo, Mfano ilianza GNLD wakashindwa wakaondoka lakini kampuni bado ipo na wana product kibao zinauzwa hata Tanzania na tunazitumia sana kama ile mbolea yao