Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

Biashara ya Neteork Marketing ha work kwa nchi masikini lazima ionekane ni utapeli, Qnet kama Qnet wapo sana shida Model yao kwa nchi masikini haofanyo kazi, ni the same na Folever living, GNLD na wengineo, Mfano ilianza GNLD wakashindwa wakaondoka lakini kampuni bado ipo na wana product kibao zinauzwa hata Tanzania na tunazitumia sana kama ile mbolea yao
Ukweli ni kwamba wanauza bidhaa, useless, za bei ya chini sana kwa bei zaidi ya mara kumi ya bei halisi huku wakijificha nyuma ya manufaa ya ulongo'ulongo ambayo mnunuzi atapata iwapo ataleta wateja wengine!
... ndoto ya mafanikio huwaendea waasisi, wajanja wachache, ambao watawauzia hiyo'story' nyumbu wengine wengi kabla ya mchezo kushtukiwa!
NB: THE KEY IS FOR THE FOUNDER TO MAKE HYPERPROFIT FOR GOODS NO ONE ACTUALLY NEEDS!
😱😱😱👀☠️☠️☠️🤡
 
Nani huyo aliwe? Mie huyu naanzia wapi? Kuna kaka m1 kaliwa 350k, yaan hata haelewi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wale wa idea debator sijui utopolo gani,, jamaa kapewa 650k ya ada ya muhula wa kwanza akaweka huko,,, walivyopita nayo hadi huruma,,, walinishambulia kinoma nlivowaambia mtapigwa,,, siku anajua ndo kashaingizwa mjini akaomba achangiwe nauli,, wapangaj wengine wakachanga,, mie sikutoa hata senti
 
Ahahaaha hii mambo kuna jamaa yangu alitaka kuniunga na AIM GLOBAL miaka mingi nyuma wakati niko chuo natamba na boom. Mzee kaja na suti kanjwekea flash inamavideo jamaa wako Indonesia huko wamekwea pipa, amenipanga pale nikasema sawa ngoja boom lijalo.
Ikawa ntolee akakata tamaa mwenyewe. Majuzi hapa naona anagombea urais wa IFM.

Kuna mwingine hatuongei kisa nimegoma kujiunga na michezo yao ya laki laki kila week sijui atoke mtu. Nikasema hapana nyie endeleeni mkifanikiwa nyie inatosha
 
Ukizaliwa Dar wewe tayari ni form six.
Ukizaliwa huko sijui wapi watu wanakoamini kwamba hupati uwaziri mpaka uende kwa waganga ukifika Dar unapigwa pesa ndefu kiulaiiini.
Haijalishi umesoma Bugando au KCMC.
Aiseee.
JamiiForums2127175075.jpg
 
Ahahaaha hii mambo kuna jamaa yangu alitaka kuniunga na AIM GLOBAL miaka mingi nyuma wakati niko chuo natamba na boom. Mzee kaja na suti kanjwekea flash inamavideo jamaa wako Indonesia huko wamekwea pipa, amenipanga pale nikasema sawa ngoja boom lijalo.
Ikawa ntolee akakata tamaa mwenyewe. Majuzi hapa naona anagombea urais wa IFM.

Kuna mwingine hatuongei kisa nimegoma kujiunga na michezo yao ya laki laki kila week sijui atoke mtu. Nikasema hapana nyie endeleeni mkifanikiwa nyie inatosha
Laki laki [emoji28][emoji28][emoji119] kwani hutaki kufanikiwa Mkuu?

Ni sawa na hela yako mwenyewe unaiweka Kwa mkono wa kulia alaf unaitoa Kwa mkono wa kushoto
 
Usiombee mwanamke wako au ndugu yako atekwe na hao mashetani na wewe unajaribu kumuokoa ila anaona unamkosesha mamilion hasiraa zakee acha tuuu 😀 😀 😀 hapa ndo zile kesi mtu anabeba mjegejee
 
Back
Top Bottom