Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Vp kuhusu Duttex
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ni kwamba wanauza bidhaa, useless, za bei ya chini sana kwa bei zaidi ya mara kumi ya bei halisi huku wakijificha nyuma ya manufaa ya ulongo'ulongo ambayo mnunuzi atapata iwapo ataleta wateja wengine!Biashara ya Neteork Marketing ha work kwa nchi masikini lazima ionekane ni utapeli, Qnet kama Qnet wapo sana shida Model yao kwa nchi masikini haofanyo kazi, ni the same na Folever living, GNLD na wengineo, Mfano ilianza GNLD wakashindwa wakaondoka lakini kampuni bado ipo na wana product kibao zinauzwa hata Tanzania na tunazitumia sana kama ile mbolea yao
Hadi washindwe kutoa hewa chafu.Acha wapigwe tu
Nani huyo aliwe? Mie huyu naanzia wapi? Kuna kaka m1 kaliwa 350k, yaan hata haelewi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee hadi nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787] asee mjini sio poa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wale wa idea debator sijui utopolo gani,, jamaa kapewa 650k ya ada ya muhula wa kwanza akaweka huko,,, walivyopita nayo hadi huruma,,, walinishambulia kinoma nlivowaambia mtapigwa,,, siku anajua ndo kashaingizwa mjini akaomba achangiwe nauli,, wapangaj wengine wakachanga,, mie sikutoa hata sentiNani huyo aliwe? Mie huyu naanzia wapi? Kuna kaka m1 kaliwa 350k, yaan hata haelewi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani yeye nani Asitapeliwe!!
Utakuwa agent wa hiyo kampuni wewe, sio kwa makasirikio Kama hayo kwa member mwenzakoFolever living ndio nn? Sasa mpaka leo matumizi ya R na L hujui ndio ushindwe kupigwa!!! Fanya kaz mwehu ww!!
Anasema ''Good morning''
Kuna 'Msukuma' Mjanja?Kwani yeye nani Asitapeliwe!!
Ndiyo Yale ya bwana kuku🏃🏃Wacha wapigwe
Aiseee.Ukizaliwa Dar wewe tayari ni form six.
Ukizaliwa huko sijui wapi watu wanakoamini kwamba hupati uwaziri mpaka uende kwa waganga ukifika Dar unapigwa pesa ndefu kiulaiiini.
Haijalishi umesoma Bugando au KCMC.
Alipiga kelele akiwa analiwa kwa Ile fasi?Sabaya alishapiga sana kelele, wakamfanyia fitina ya kumuweka ndani
Laki laki [emoji28][emoji28][emoji119] kwani hutaki kufanikiwa Mkuu?Ahahaaha hii mambo kuna jamaa yangu alitaka kuniunga na AIM GLOBAL miaka mingi nyuma wakati niko chuo natamba na boom. Mzee kaja na suti kanjwekea flash inamavideo jamaa wako Indonesia huko wamekwea pipa, amenipanga pale nikasema sawa ngoja boom lijalo.
Ikawa ntolee akakata tamaa mwenyewe. Majuzi hapa naona anagombea urais wa IFM.
Kuna mwingine hatuongei kisa nimegoma kujiunga na michezo yao ya laki laki kila week sijui atoke mtu. Nikasema hapana nyie endeleeni mkifanikiwa nyie inatosha