Kiokotee
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,675
- 2,211
Atoke wapi?Kuna 'Msukuma' Mjanja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atoke wapi?Kuna 'Msukuma' Mjanja?
...Na anaelekea alipogwa nyingi, hio Buku kumi anaficha TU Maumivu!!....Kwa Uandishi wako tu unaonekana ni Mbwiga ( Mshamba ) hivyo umestahili 'Kupigwa' huko na hao Jamaa ili Mkome pia.
😂😂😂 Mzee wangu alitapeliwa km hivyo ulivyoandika hapa, akanishawishi niingie Tena kwa kunilipia nusu pesa😂😂 nikamgomea akaona sina adabu,, ila mpk leo hajapewa hata mia, na mashine yake ya kuchujia maji ipo stoo😂😂😂Utapeli tuu, eti mtu anaambiwa atoe 5 milioni na product anayopewa ni ka mashine ka kusafisha maji!! Really??
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzee aliingizwa chaka[emoji23][emoji23][emoji23] Mzee wangu alitapeliwa km hivyo ulivyoandika hapa, akanishawishi niingie Tena kwa kunilipia nusu pesa[emoji23][emoji23] nikamgomea akaona sina adabu,, ila mpk leo hajapewa hata mia, na mashine yake ya kuchujia maji ipo stoo[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu wateja wao wakubwa ni walimu na wastaafu[emoji23][emoji23][emoji23]
Anavyojua kujikaza sasa, km sio yeye,,, mil 5 ikaenda km karatasi yani,, acha wapigwe tu maana ukiwa na shida hawezi kukupa ila kwenye utopolo akatoa chap na akatapeliwa, ilikuwa mwaka juzi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzee aliingizwa chaka
ok itakuwa walishapigwa hela.Walidanganywa mkuu kuwa kuna kazi wanaenda pewa ila walipofika Dar wakaishia kufichwa kwenye chumba kimoja mpaka pale mama mmoja muhaya alipokutana nao kisimani
Ten percent na vibahasha zitawaua viongozi wetu! Mtu hata hajiulizi reputation ya anachoitiwa kukizindua, anakwenda tu kama kondoo.
'Mkaze' Kwanza ndipo umpe Hela. 'Wapuuzi' kama Yeye huwa nawatafuta sana Mkuu ili niwatembezee 'Mkuyenge' daima.Kuna binti aliacha kazi serikalini akaenda huko, akanishawishi sana nikagoma,, akaanza kunirushia vijembe status,, nikaamua kufuta namba zake,, kanicheki juzi kati nimkopeshe pesa,, na bla bla kibao😂😂😂
Hv ni mimi pekee yangu ndo hua nafurahi kuona wasomi (hasa vijana wasomi) wakitapeliwa kizembe hivyo.?
🤣😁🤣Pole sana mpwa kuna wengine wamepigwa sana mpaka 200K[emoji16][emoji16][emoji16] idea debator, bhana sijui nisemaje ila jamaa wamekomba ma boom ya wanafunzi mbaya mbovu aisee..
Mimi mwenyew wamenila kichwa japo niliweka Tsh 10000=/ kam mtaji..
Sent from my BAC-L21 using JamiiForums mobile app
Utapeli tuu, eti mtu anaambiwa atoe 5 milioni na product anayopewa ni ka mashine ka kusafisha maji!! Really??
Nahisi walipigwa elfu kadhaa za fomu na ujinga mwingineok itakuwa walishapigwa hela.
Popoma una wenge leo,, Nina k ntamkazaje sasa😂😂😂'Mkaze' Kwanza ndipo umpe Hela. 'Wapuuzi' kama Yeye huwa nawatafuta sana Mkuu ili niwatembezee 'Mkuyenge' daima.
Kwani kigwa walipita nae?
Yes bro sikuona kama kuna cha maana, pesa nayoweka na kupata ni ile ile mbayaa zaidi unajikuta we kwenye mzunguko uko mbali wa 21 hukoo[emoji23][emoji23]Laki laki [emoji28][emoji28][emoji119] kwani hutaki kufanikiwa Mkuu?
Ni sawa na hela yako mwenyewe unaiweka Kwa mkono wa kulia alaf unaitoa Kwa mkono wa kushoto
Kuna huyu mdada pia ye ni agent wa DELASKA, naye ni hivo hivo maraa ooh ndio naenda kutoa pesa zangu sijui, mara ofisi yangu hakuna wa kunipangia muda wa kufungua, mara bando lako unalitumia vibaya nikaona sio mbaya nika muongeza kwenye mute list nikimmiss nazima data naenda angalia picha zake binafsi, za uagent na skip[emoji1][emoji1]Kuna binti aliacha kazi serikalini akaenda huko, akanishawishi sana nikagoma,, akaanza kunirushia vijembe status,, nikaamua kufuta namba zake,, kanicheki juzi kati nimkopeshe pesa,, na bla bla kibao[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna sehemu ya kufanya usionekane kwenye viewers hiyo ndo simple,, wanazingua sana hao watu na ukute ndo kislay kwini sasa mama weee,, 😅Kuna huyu mdada pia ye ni agent wa DELASKA, naye ni hivo hivo maraa ooh ndio naenda kutoa pesa zangu sijui, mara ofisi yangu hakuna wa kunipangia muda wa kufungua, mara bando lako unalitumia vibaya nikaona sio mbaya nika muongeza kwenye mute list nikimmiss nazima data naenda angalia picha zake binafsi, za uagent na skip[emoji1][emoji1]