Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

Utapeli tuu, eti mtu anaambiwa atoe 5 milioni na product anayopewa ni ka mashine ka kusafisha maji!! Really??
😂😂😂 Mzee wangu alitapeliwa km hivyo ulivyoandika hapa, akanishawishi niingie Tena kwa kunilipia nusu pesa😂😂 nikamgomea akaona sina adabu,, ila mpk leo hajapewa hata mia, na mashine yake ya kuchujia maji ipo stoo😂😂😂

Halafu wateja wao wakubwa ni walimu na wastaafu😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mzee wangu alitapeliwa km hivyo ulivyoandika hapa, akanishawishi niingie Tena kwa kunilipia nusu pesa[emoji23][emoji23] nikamgomea akaona sina adabu,, ila mpk leo hajapewa hata mia, na mashine yake ya kuchujia maji ipo stoo[emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu wateja wao wakubwa ni walimu na wastaafu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzee aliingizwa chaka
 
Kuna binti aliacha kazi serikalini akaenda huko, akanishawishi sana nikagoma,, akaanza kunirushia vijembe status,, nikaamua kufuta namba zake,, kanicheki juzi kati nimkopeshe pesa,, na bla bla kibao😂😂😂
'Mkaze' Kwanza ndipo umpe Hela. 'Wapuuzi' kama Yeye huwa nawatafuta sana Mkuu ili niwatembezee 'Mkuyenge' daima.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] idea debator, bhana sijui nisemaje ila jamaa wamekomba ma boom ya wanafunzi mbaya mbovu aisee..

Mimi mwenyew wamenila kichwa japo niliweka Tsh 10000=/ kam mtaji..

Sent from my BAC-L21 using JamiiForums mobile app
🤣😁🤣Pole sana mpwa kuna wengine wamepigwa sana mpaka 200K
 
Utapeli tuu, eti mtu anaambiwa atoe 5 milioni na product anayopewa ni ka mashine ka kusafisha maji!! Really??

Nilisikiliza report maalum YouTube wajinga Tz ni wengi hasa kizazi cha sasa yaani hata kujihoji tu vijana hawajihoji mbaya zaidi ujinga umeunga tela hadi kwa wazazi. Mzazi anauza shamba anampatia mtoto hela.
Ok angalia nyumba waliyofikia ilivyo, akili sawa hawana hata macho nayo huna utambue hili duka la mtandaoni mbona haliendani na mtaji niliotoa?
Duh’ sijui huu umaskini tuuepukeje hasa kizazi hiki chenye maarifa lukuki? Kuibiwa naweza kuibiwa ila kutapeliwa ni uzembe wa kutokufikiri!
 
Kuna jamaa yangu alinitafuta zaidi ya siku nne nionane Kuna fursa, baada ya kwenda na kukuta Bango la qnet kubwa, nikajisemea moyoni angeniambia ni qnet hata nisingepoteza mafuta yangu, nikaona nijifunze Kwa kumuheshimu baada ya hapo sikuonekana tena, AHSANTE JF maana ndo niliona Uzi unaozungumzia qnet.
 
Laki laki [emoji28][emoji28][emoji119] kwani hutaki kufanikiwa Mkuu?

Ni sawa na hela yako mwenyewe unaiweka Kwa mkono wa kulia alaf unaitoa Kwa mkono wa kushoto
Yes bro sikuona kama kuna cha maana, pesa nayoweka na kupata ni ile ile mbayaa zaidi unajikuta we kwenye mzunguko uko mbali wa 21 hukoo[emoji23][emoji23]
 
Kuna binti aliacha kazi serikalini akaenda huko, akanishawishi sana nikagoma,, akaanza kunirushia vijembe status,, nikaamua kufuta namba zake,, kanicheki juzi kati nimkopeshe pesa,, na bla bla kibao[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna huyu mdada pia ye ni agent wa DELASKA, naye ni hivo hivo maraa ooh ndio naenda kutoa pesa zangu sijui, mara ofisi yangu hakuna wa kunipangia muda wa kufungua, mara bando lako unalitumia vibaya nikaona sio mbaya nika muongeza kwenye mute list nikimmiss nazima data naenda angalia picha zake binafsi, za uagent na skip[emoji1][emoji1]
 
Kuna huyu mdada pia ye ni agent wa DELASKA, naye ni hivo hivo maraa ooh ndio naenda kutoa pesa zangu sijui, mara ofisi yangu hakuna wa kunipangia muda wa kufungua, mara bando lako unalitumia vibaya nikaona sio mbaya nika muongeza kwenye mute list nikimmiss nazima data naenda angalia picha zake binafsi, za uagent na skip[emoji1][emoji1]
Kuna sehemu ya kufanya usionekane kwenye viewers hiyo ndo simple,, wanazingua sana hao watu na ukute ndo kislay kwini sasa mama weee,, 😅
 
Back
Top Bottom