Tulishiriki kutunga Sheria za TCRA, Humprey Polepole kwanini Unalia kuitwa na TCRA?

Ukweli mchungu huu..wapinzani hawataki kuusikia...ila ccm imejaa wezi sana na wanalindana sana..ccm ya nyerere ishaga jifia kitambo wamebaki wapiga dili tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mwenye akili kwa haya yanayoendelea ataona siku mojakuwa hata hawa CCM haya wanayoyafanya Kama kutunga sheria kandamizi zitawarudi wenyewe na wataanza kulalamika Kama polepole
 
Polepole ni kama Jiwe la Msingi.....
Hata baada ya Magu kufariki, Jamaa hajawahi kukaa kimya wala kuyumba ktk misimamo yake.
Hajawahi kumuogopa mtu hasa pale anapotetea anachokiamini. Kwa mathalani pale aliposimamia Hadharani kauli yake ya kuto kuchanjwa. Jamaa ni Jiwe aisee.
 
🤔🤔🚶🚶🚶🚶
 
Ni yeye au ni godfather
Hakuna cha Godfather bhana! Mtu una miaka zaidi ya 40 bado unasingizia wengine! Ili iweje. Wote hawa hawana wanalolijua zaidi ya kelele majukwaani. Nape ana taaluma gani zaidi ya kujikomba?
 
Analia kwa sababu zilitungiwa wapinzani.Unahitaji PhD ili kuyajua haya?
 
Tundu lisu antpass mungwai kiboko namnukuu maneno yake akimfafanua athari kufungia vyombo habari kuthibiti pia nakuonekana kwa bunge mubashara.

Alitolea mfano wa waziri wakwanza wa ulinzi wa Ghana ,alipeleka mswada bungeni wakiukandamizaji ukapitishwa ,mtu wakwanza kutafunwa na ile Sheria alikua waziri mwenyewe mpeleka mswada bungeni


Polepole usilie Sheria hizo sio kwajili ya chadema kuthibitiwa niwoooote kwa umoja wetu
 
Polepole na wenzako mlikuwa busy kuweka hivi visheria uchwara lakini mkasahau sheria ni kama msumeno na inapiga pande zote, acha mliwe tuu, na muombe mungu tupate katiba mpya ili wajukuu wenu waishi kwenye nchi ya haki na amani
 
NImesoma maana ya IQ ulivyoieleza. Nikafuatilia maelezo yako yaliyoonesha nafasi yako ktk uongozi. Nimesikitika. Kumbe hata hujui IQ inapimwaje!! HUwezi kupima IQ kwa uwezo wa kufikiri. Kufikiri ni jambo lisilopimika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…