MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Wanyonge mnyongwe kabisa. 😂😂😂😂JPM uliondoka mapema sana Tanzania ilikuwa inakuhitaji bado WANYONGE tunaonewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyonge mnyongwe kabisa. 😂😂😂😂JPM uliondoka mapema sana Tanzania ilikuwa inakuhitaji bado WANYONGE tunaonewa
Bado hamjasema , ukweli ndio huoKihansi, Kidatu na Pangani ndiyo mabwawa yaliyoathiriwa na upungufu wa mvua. Bwawa la Mtera lina uwezo wa kuhifadhi maji kwa mwaka mmoja. Yaani lina resrvoir inayoweza kuback-up kwa mwaka mzima kwa hiyo huwa linakuwa la mwisho kukauka.
Kama hali ni mbaya zaidi wanaachia not at maximum capacity kurefusha matumizi na kusubiri mvua.
Maji yanamuelekeo ,niambie hayo maeneo yenye upungufu wa maji na bwawa la Mtera wa ni juu na wapi ni bondeniKihansi, Kidatu na Pangani ndiyo mabwawa yaliyoathiriwa na upungufu wa mvua. Bwawa la Mtera lina uwezo wa kuhifadhi maji kwa mwaka mmoja. Yaani lina resrvoir inayoweza kuback-up kwa mwaka mzima kwa hiyo huwa linakuwa la mwisho kukauka.
Kama hali ni mbaya zaidi wanaachia not at maximum capacity kurefusha matumizi na kusubiri mvua.
Kwani nani kasema mitambo izimwe? Kilichopo ni uzalishaji kupungua,watu mna fitina na chuki Sana..“Kwa kina hiki cha mita 5.76 tunaweza kuzalishha umeme kwa kiwango cha juu cha megawatts 80 kwa miezi saba ijayo hata kama tone moja la mvua halitaingia kwenye bwawa la Mtera”
- Meneja wa Kituo cha kuzalisha umeme Mtera, Elias Mwalupilo
KaNilitaka kushangaa ukame gani wa ghafla huo,
Raisi laziam aingilie kati, vinginevyo atakua analea wahalifu.
Mmefikia huko kuombeana mabaya, kweli nyie mmeyazoea hayo.Mungu mchukue makamba na zitto na washenzi wengibe wote wenye nia mbaya na nchi hii.
Wanataka kuwasha lile limtambo la Dowans, ambalo limekaa muda mrefu sana bil kufanya kazi. Tutalipia kila kituMkapa akiwa Rais aliwa kusema ni bahati na faraja kubwa kuwa Rais wa Tanzania kwani Watanzania ni wapole na wavumilivu. Kikwete nae alikuja kuinukuu kauli hii.
Hapa ndipo tatizo linapo anzia, viongozi wanajua Watanzania ni wapole kwa hiyo wanaweza fanya chochote hata hujuma za wazi kabisa kwasababu wanajua no action will be taken. Kuna mambo yanafanywa na viongozi wakuu ingekuwa kwa nchi nyingine wasinge thubutu.
Thanks.Kwa faida ya wasomaji ni 30b usd na sio 30m usd
Msoga family akili kubwa SANA!Hivi kwanini Samia anamlea huyu Makamba ?
“Kiwango cha juu” means umeme wa kutosha,labda utuambie wewe unadhani inabidi bwawa liwe na maji kiasi gani ili kuzalisha umeme wa kusemwa unatosha?Kwani nani kasema mitambo izimwe? Kilichopo ni uzalishaji kupungua,watu mna fitina na chuki Sana..
Hata hizo mgwt zikizalishwa haiondoi Mgao maana so far uzalishaji unaendelea.
Mtera ni juu na Kidatu ni Bondeni.Maji yanamuelekeo ,niambie hayo maeneo yenye upungufu wa maji na bwawa la Mtera wa ni juu na wapi ni bondeni
Maneno yako yana ukweli mwingi....ni ngumu sana kuwadhibiti mafisadi, saivi wamehamisha magoli eti waanzishe mdradi wa umeme wa solar na upepo ili wakapigie huko. kuna rafiki yangu ni technician tanesco alinambia kinachoendelea pale ni usanii maana wateja wapya na wazamani wanatumia 60% pekee ya umeme unaozalishwa tanesco hivo hata kama miezi hii maji hupungua hakuna athari yoyote, alinambia kwa sasa wanafanya kazi kwa maelekezo ya wakubwa na wala hakukua na matatizo ya matengenezo yoyote, alinambia laiti kungekua na matatizo hayo tunayolazimishwa kuaminishwa basi yangeshaonekana na wala yasingejitokeza ghafla baada ya boss mpya kuingia wizarani.
asingekua waziri wa mchongo angeshaondolewa, yote yanayoendelea pale wizarani yana baraka za wakubwa.Mgosi hadi muda huu amekalia kiti cha uwaziri huyu ilibidi aingie kwenye list ya waliolala wana kazi wakaamka hawana kazi.
Ndio maana kwa ile pointi ya Zitto eti Rais anafungua nchi mahitaji ya umeme yameongezeka, nikajiuliza huku kufungua nchi kunahusiana nini na kuongezeka ghafla mahitaji ya umeme?ni ngumu sana kuwadhibiti mafisadi, saivi wamehamisha magoli eti waanzishe mdradi wa umeme wa solar na upepo ili wakapigie huko. kuna rafiki yangu ni technician tanesco alinambia kinachoendelea pale ni usanii maana wateja wapya na wazamani wanatumia 60% pekee ya umeme unaozalishwa tanesco hivo hata kama miezi hii maji hupungua hakuna athari yoyote, alinambia kwa sasa wanafanya kazi kwa maelekezo ya wakubwa na wala hakukua na matatizo ya matengenezo yoyote, alinambia laiti kungekua na matatizo hayo tunayolazimishwa kuaminishwa basi yangeshaonekana na wala yasingejitokeza ghafla baada ya boss mpya kuingia wizarani.
Nakubaliana na wewe kwa aslimia zoteasingekua waziri wa mchongo angeshaondolewa, yote yanayoendelea pale wizarani yana baraka za wakubwa.
Kama ni hivyo maji yapatikane juu chini yakosekane?Mtera ni juu na Kidatu ni Bondeni.
Your point?
unaambiwa baada ya makelele mengi genge wamekaa vikao vingi na hatimae wakabadili mwelekeo kwa kuja na mradi wa umeme wa solar na upepo bt malengo makubwa ni upigaji maana hatuna upungufu wa umeme ila kwa kua njia yao imeshtukiwa wamelazimika kubadili mbinu.Maneno yako yana ukweli mwingi....
Ile combination iliyopo wizarani ni ya wezi wakubwa sana...lazima ina baraka kutoka juu....