Tulitaka kutengenezewa ukame bwawa la Mtera, tupazeni sauti tukiona ndivyo sivyo

Tulitaka kutengenezewa ukame bwawa la Mtera, tupazeni sauti tukiona ndivyo sivyo

unaambiwa baada ya makelele mengi genge wamekaa vikao vingi na hatimae wakabadili mwelekeo kwa kuja na mradi wa umeme wa solar na upepo bt malengo makubwa ni upigaji maana hatuna upungufu wa umeme ila kwa kua njia yao imeshtukiwa wamelazimika kubadili mbinu.
Aiseee...hili halishangazi...yaani umuweke January..Maharage..Mafuru na Nehemia alafu wasikwapue?.....
 
Kwa kweli Tanzania in inchi ya kwanza Duniani nahisi mungu haipendi kabsaaa na tutakuja fukiwa inchi nzima hi kwa nini kweli? Kila kitu maigzo tu hat kwenye maisha ya watu ambao mungu kawaumba wao wanafanya kama wamewaumba wao haw mbwa wa CCM? Yaaani hiki chama kilaniwe sana

Waziri mzima anatumia ndege za jeshi kukagua maji kweli halafu tunachekelea jamani tumefika pabaya sana na kuna tisha sana
January hetu fanya kutoka tu huwezi kweli hata kidgo mtu kumwagilia nyanya chungu zake na maji kunywewa na mifugo ndio chanzo cha umeme kuwa na mgao?

2017 kuna jua liliwaka kali sana na mifugo ikafa sana huku kwetu mifugo ilikufa sana ila upuuuzi huuu wa kisingizio cha kuchepusha maji hakuna kitu kma hyo halafu kuna mijitu hapa inasema eti sukuma gang Takataka kabisa

Kweli 60 yrs ya Uhuru bado tunasumbuka na viumeme kweli CCM MUNGU AWALAAANI NYIE

Kuna mtu mzima anasema eti jua kari kisa ujeuri wa wanadamu je ujeuri wake yyye hauni kila kona MOTO MAHOTELI MASOKO NA MAJUMBA YANAWAKA LAAANA HIII YY AIONI
Ache utoto huo wamekaaa kupiga pesa tu ndio wanachowaza CCM TUMEWACHOKA
FREEE MBOWE
MAKAMBA MSANIII
 
"Hata kama tusipopata tone la maji bado tunaweza kuzalisha umeme kwa miezi saba ijayo" - Meneja Bwawa la Mtera.

Inavyoonekana hawa wazito huwa wanaenda field wanapewa taarifa za kweli, lakini wao wakija kwenye majukwaa yao ya twitter wanaingiza siasa zao ili kutimiza malengo yao ovu kwa taifa, na kwa vile hawa mameneja miradi hawana uwezo wa kuwapinga, basi mafisadi wanajifanyia watakavyo.

Ole wao mafisadi wa nchi hii wamshughulikie huyo meneja, ameamua kuwa mkweli kwa nafsi yake na nchi yake, hawa jamaa ni wezi na wanafahamika kwa matendo yao miaka na miaka, kuwatetea kwa kutuletea namba nyingi kwenye long articles ni kupoteza muda tu, haya mambo ni kile kinachotokea field na wala sio kutuletea namba za darasani.

Rais anakurupuka kuleta habari za LNG na wajanja nao wanachukua nafasi hiyo kutengeneza mianya ya kutupiga huku Zitto akiwa mpiga zumari, wanajua pale kuna $ 30 bil. ni nani mwenye akili timamu wakuiamini hii combination ya Zitto na Makamba?

Badala ya kumalizia mradi wa Bwawa la Nyerere wanaenda kutumbukiza mapesa mengi kutengeneza mradi mpya, hivi kwa akili ya kawaida tu hii kitu inaeleweka kweli? tumezungukwa na circle ya wapigaji lazima tuwe makini.
Mkuuu CCM NDIO CHANZO CHA MATATZO
 
“Kwa kina hiki cha mita 5.76 tunaweza kuzalishha umeme kwa kiwango cha juu cha megawatts 80 kwa miezi saba ijayo hata kama tone moja la mvua halitaingia kwenye bwawa la Mtera”

- Meneja wa Kituo cha kuzalisha umeme Mtera, Elias Mwalupilo
Wamemtoa singa lupango sasa wanataka kumrejesha kazini waendelee kupiga hela ya tanesco. Walaaniwe fisadi wa nchi hii wote.
 
“Kwa kina hiki cha mita 5.76 tunaweza kuzalishha umeme kwa kiwango cha juu cha megawatts 80 kwa miezi saba ijayo hata kama tone moja la mvua halitaingia kwenye bwawa la Mtera”

- Meneja wa Kituo cha kuzalisha umeme Mtera, Elias Mwalupilo
Manyuzi on duty.
Hao ndiyo wazoefu wa upigaji kitaifa.
 
Back
Top Bottom