mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
- Thread starter
- #61
Mungu anawaona na tamaa za dunia,wengine ni wazee kabisani ngumu sana kuwadhibiti mafisadi, saivi wamehamisha magoli eti waanzishe mdradi wa umeme wa solar na upepo ili wakapigie huko. kuna rafiki yangu ni technician tanesco alinambia kinachoendelea pale ni usanii maana wateja wapya na wazamani wanatumia 60% pekee ya umeme unaozalishwa tanesco hivo hata kama miezi hii maji hupungua hakuna athari yoyote, alinambia kwa sasa wanafanya kazi kwa maelekezo ya wakubwa na wala hakukua na matatizo ya matengenezo yoyote, alinambia laiti kungekua na matatizo hayo tunayolazimishwa kuaminishwa basi yangeshaonekana na wala yasingejitokeza ghafla baada ya boss mpya kuingia wizarani.