Tulitangazwa bure Burj Khalifa...

Huyu bibi mpaka wanawake wenzake wanamdharau kbs. Kaiuza Tanganyika kama baba Hassan alivyouza Loliondo sijui wakiona Waarabu wanachanganyikiwa na nini. Mama hana mvuto tena.
Ivi Wana undugu?
 
Kwahyo tukitangazwa bure dubai na sisi tugawe bandari zetu maana tatizo sio muwekezaji tatizo ni hayo makubaliano ya kwenye mkataba hanatupa nn na muarabu anapata nn hapo ndio kimbembe
Kabisa, na ndio msingi wa hoja nilizoweka
 
Asante kiongozi, umeeleza na kuuliza kwa mapana maswali mazito walau sisi wapiga kelele wa Tanganyika hata kama hatutosikilizwa na hao kina Mangungo basi watayauliza wajukuu zetu
 
Picha ya bi mkubwa ilipeperushwa kwenye billbords za USA pia kwa wiki 1
 
MUNGU atasimama, yaliyosemwa kwenye ule uzi pendea wa Dark..... Hhayatatimia
 
Sisi watanganyika tuna shida gani tuingie mkataba wa kipumbavu namna hii?
Eti DPW apewe ardhi yoyote atakayoitaka within Tanganyika territory bila kulipa fidia.
Je akitaka sehemu ya kambi ya jeshi , mfano aseme anataka sehemu ya nyumbu kibaha au apende Lugalo ajenge casino tutasemaje?
Askari wetu walio apa kuilinda nchi hii wameonyeshwa huu mkataba wa kipuuzi?
 
Makubaliano tuliyotia saini na kupitisha bungeni yanasema apewe, hata akiitaka Ikulu kwa shughuli za kibandari basi apewe, tena kwa gharama zetu sisi tuondoe watu
 
Makubaliano tuliyotia saini na kupitisha bungeni yanasema apewe, hata akiitaka Ikulu kwa shughuli za kibandari basi apewe, tena kwa gharama zetu sisi tuondoe watu
Hata Ile sehemu ilipo tigo akitaka huyu mwanaharamu inabidi apewe Tena kwa gharama zetu.
 
Makubaliano tuliyotia saini na kupitisha bungeni yanasema apewe, hata akiitaka Ikulu kwa shughuli za kibandari basi apewe, tena kwa gharama zetu sisi tuondoe watu
Makelele ya mitandaoni haya, mwezi ujao tu yataisha na tutaletewa tukio jingine tulijadili
 
Yapo makubwa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…