rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,797
- 5,510
Ivi Wana undugu?Huyu bibi mpaka wanawake wenzake wanamdharau kbs. Kaiuza Tanganyika kama baba Hassan alivyouza Loliondo sijui wakiona Waarabu wanachanganyikiwa na nini. Mama hana mvuto tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi Wana undugu?Huyu bibi mpaka wanawake wenzake wanamdharau kbs. Kaiuza Tanganyika kama baba Hassan alivyouza Loliondo sijui wakiona Waarabu wanachanganyikiwa na nini. Mama hana mvuto tena.
Kabisa, na ndio msingi wa hoja nilizowekaKwahyo tukitangazwa bure dubai na sisi tugawe bandari zetu maana tatizo sio muwekezaji tatizo ni hayo makubaliano ya kwenye mkataba hanatupa nn na muarabu anapata nn hapo ndio kimbembe
Kweli kabisa..halafu mshindi ndio achukueHii tender, zabuni inabidi itangazwe upya kuwe na ushindani. Masharti na vipengele tuweke sisi.
View attachment 2668869
Ikifika mwezi wa 7 , kuna ‘mbuzi’ wawili au watatu watatolewa kafara, hii ni kwa decoding binafsi ya mtiririko wa matukio takriban matano hadi kumi niliyoya -observe, na inanipelekea kuamini hivyo.
1.) Haya majibu yanayotolewa na serikali kupitia Gerson Msigwa , Kassim Majaliwa na Hamza Johari yanatolewa kwa ajili ya nani? Maana tumeambiwa hizi kelele hazibadilishi chochote, sasa ya nini kutujibu wapiga kelele?
2.) Ni lini iliwahi tokea hapa Tanganyika pakawa na such an intense persistence, consistence na insistance ya kupinga matendo ya serikali kwa muda wa mwezi mzima bila kupumua, we are breathing bandari, day in , day out , hadi lini tutakuwa ignored?!
3.)Rais akiongea kwa sasa sauti yake inatetemeka, anaogopa nini, anaongea as if anataka kulia kwanini? Tangu lini mkuu wa nchi akatoa kauli irresponsible na ya kimipasho kama ile dhidi ya hoja serious kama za kuuzwa kwa Tanganyika, kwamba anaweka pamba masikioni?! Siasa ni Taarab?!
4.)Hadi majumbani watoto wanatuuliza tuufafanue mkataba huu wa bandari, imagine, kwa aibu kali inabidi tuwaeleze kwamba tumeuzwa kwa waarabu na waZanzibari, na huo ndio ukweli, wala sio udini au ubaguzi, ni ukweli tu., narudia kuziweka hoja hapo chini.
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
==========================
Maharage yameanza kurukaruka, bado kidogo tu...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa kusema kuwa kuna...www.jamiiforums.com
Picha ya bi mkubwa ilipeperushwa kwenye billbords za USA pia kwa wiki 1View attachment 2668869

Tukijua alichowauzia US tutajadiliPicha ya bi mkubwa ilipeperushwa kwenye billbords za USA pia kwa wiki 1
MUNGU atasimama, yaliyosemwa kwenye ule uzi pendea wa Dark..... HhayatatimiaMastermind wake ni JK na team yao.
Kiufupi ndio anaowasikiliza.
Wamemwambia atulie tu, hayo ni makelele na hayawezi kudumu zaidi ya miezi miwili, yanapita.
Hii ni ile aliyosimulia mtu fulani, kwamba ile team inataka kusuka kitu ktk nchi ambacho wao na vizazi vyao watakula miongo na miongo hata ije serikali ipi!
Ndio hii IGA ya Dubei.
Makubaliano tuliyotia saini na kupitisha bungeni yanasema apewe, hata akiitaka Ikulu kwa shughuli za kibandari basi apewe, tena kwa gharama zetu sisi tuondoe watuSisi watanganyika tuna shida gani tuingie mkataba wa kipumbavu namna hii?
Eti DPW apewe ardhi yoyote atakayoitaka within Tanganyika territory bila kulipa fidia.
Je akitaka sehemu ya kambi ya jeshi , mfano aseme anataka sehemu ya nyumbu kibaha au apende Lugalo ajenge casino tutasemaje?
Askari wetu walio apa kuilinda nchi hii wameonyeshwa huu mkataba wa kipuuzi?
Hata Ile sehemu ilipo tigo akitaka huyu mwanaharamu inabidi apewe Tena kwa gharama zetu.Makubaliano tuliyotia saini na kupitisha bungeni yanasema apewe, hata akiitaka Ikulu kwa shughuli za kibandari basi apewe, tena kwa gharama zetu sisi tuondoe watu
Kabisa, tena kwa gharama zetu!Hata Ile sehemu ilipo tigo akitaka huyu mwanaharamu inabidi apewe Tena kwa gharama zetu.
Makelele ya mitandaoni haya, mwezi ujao tu yataisha na tutaletewa tukio jingine tulijadiliMakubaliano tuliyotia saini na kupitisha bungeni yanasema apewe, hata akiitaka Ikulu kwa shughuli za kibandari basi apewe, tena kwa gharama zetu sisi tuondoe watu
Yapo makubwa hapa.2.) Ni lini iliwahi tokea hapa Tanganyika pakawa na such an intense persistence, consistence na insistance ya kupinga matendo ya serikali kwa muda wa mwezi mzima bila kupumua, we are breathing bandari, day in , day out , hadi lini tutakuwa ignored?!