FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #61
Kwa hiyo tusubiri hadi bandari itakapoexpireMwisho wake ni Bandari itakapoexpire😀😀
Atajibu nini sasa ilhali kichwani hamna kituNa kinachonikera mimi ni kwamba badala ya kujibu hoja wao wanajibu mipasho. Sasa kusema kwamba unaziba masikio ndio unajibu hoja hapo?!
Mastermind wake ni JK na team yao.
Kiufupi ndio anaowasikiliza.
Wamemwambia atulie tu, hayo ni makelele na hayawezi kudumu zaidi ya miezi miwili, yanapita.
Hii ni ile aliyosimulia mtu fulani, kwamba ile team inataka kusuka kitu ktk nchi ambacho wao na vizazi vyao watakula miongo na miongo hata ije serikali ipi!
Ndio hii IGA ya Dubei.
Nasikia R A, ni mchora mikakati hatari Dunia hii.Usisahau think tank wao Ni R Aziz
Hawa wengine wanaotetea na kusimamisha mishipa ya shingo no mateka Tu kama Baba Levo na Rafiki zake
Akatoboa 2025 njoo nikupe zawadi kubwa sana. Take it from me Samia 2025 hatoboi.Ina athari gani kwake? Kwanza ni nani kwake wewe?!!!!! Akiamua si anakuona sisimizi tu. Nashauri muhame kabisa nchi sababu yupo sana na historia ya kimaendeleo ya kiuchumi inaenda kubadilika.......na si mwingine anayeleta mabadiliko hayo ni Dr Samia Suluhu Hassan. Ikakupoteka kalipambilile (in Field Marshal Tongolanga's voice)