FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #61
Maharage yanazidi kuivika
www.jamiiforums.com
Dkt. Slaa: Rostam nilimrudisha akawa punje ya shanga Mwembeyanga. Ataka kutotolewa kwenye hoja ya Bandari
Wengi tulijua kitendo cha Rostam kumshambulia Dr Slaa personally badala ya kujibu hoja ya bandari ni mpango wa Mungu ili Dr apate sababu ya kufunguka zaidi. Imekuwa hivyo, na sasa sio Rostam tuu anayejutia kwa nini alifanya vile bali hata Rais wetu na Serikali yake wanamtazama Rostam kwa jicho...