Nimeihifadhi hii comment yako!!!Akatoboa 2025 njoo nikupe zawadi kubwa sana. Take it from me Samia 2025 hatoboi.
Watatu tu?😷😷😷😷Rais Samia nakushauri watose sasa Spika (Tulia) na PM (Majaliwa), sakata la bandari limekumaliza kisiasa!
Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua. Watu wengi waliokuwa wanamuona Rais Samia kama rais bora wa mfano, kwa...www.jamiiforums.com