Kumekucha tena [emoji1313][emoji1313], Sheikh anena mazito:Kubinafsisha bandari ni haramu na haitakiwi Sheikh na msemaji wa taasisi wa hizbu-tahrir amesema msimamo wao ni kuwa bandari ni mali ya Umma na haitakiwi kubinafsishwa Kuhusu ya bandari ni mali ya ummah, haifai kubinafsishwa Na...