FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #101
Sheikh anena mazito: Kubinafsisha bandari ni haramu na haifai kabisa
Kumekucha tena [emoji1313][emoji1313], Sheikh anena mazito:Kubinafsisha bandari ni haramu na haitakiwi Sheikh na msemaji wa taasisi wa hizbu-tahrir amesema msimamo wao ni kuwa bandari ni mali ya Umma na haitakiwi kubinafsishwa Kuhusu ya bandari ni mali ya ummah, haifai kubinafsishwa Na...