Tulivyoachana aliniambia mtoto siyo wa kwangu, ameachwa tena anataka nimrudie

BWEGE WEWE!!!

SIjaona jina zuri la kukuita zaidi ya hilo.
 
Tukiachana na kukuzalisha vipi wewe unaweza kutoa mchango gani wa kiuchumi kwenye familia?
Au unaweza kuchangia nini kwenye uendeshaji wa familia na maendeleo yake kiujumla?
Brother soma kila sentese matunzo siyo shida shida ni kuwa mke hataki kuendelea kunizalia nifanyeje
 
Brother soma kila sentese matunzo siyo shida shida ni kuwa mke hataki kuendelea kunizalia nifanyeje

Nimesoma vizuri mkuu na nimeelewa.

Najua sio wewe, ila nahoji kama huyu bi dada anaweza kuwa na lipi la maana kwenye familia zaidi ya kuzaa?
Ujue wanawake wanasahau kazi yao, kuzaa ndo kumewaleta kwani lipi wanaweza kusaidia?
 
Weka picha yake tuone anavyokimbia na tumbo lake
 
Mara upo kwa sugar mamy, Mara mkeo kapewa ujauzito-yani mnaona simu hizi Jamii forum imegeuka Instagram
 
Si anakutunza abilia chunga mzigo wako
 
Nimesoma vizuri mkuu na nimeelewa.

Najua sio wewe, ila nahoji kama huyu bi dada anaweza kuwa na lipi la maana kwenye familia zaidi ya kuzaa?
Ujue wanawake wanasahau kazi yao, kuzaa ndo kumewaleta kwani lipi wanaweza kusaidia?
Kuna siku tupo kwenye Mjadala na Mdau Mmoja nijaribu Kumuuliza to be honest Kitu gani Mwanamke anaweza kuoffer kwenye familia zaidi ya Mapenzi na Kuzaa.. Wakiwa na Kazi hela zao hazisaidii alipoolewa na ukiuliza hela za mshahara wako ziko wapi atakujibu hazikuhusu wewe ni jukumu lako kuhudumia Familia yako.
 
Which is which?

Wewe ndiye mwanaume mwenye mtoto au wewe ndiye unayezalishwa?unatutatanisha chini ya 15minutes una post mbili na zote hatuzielewi!
 
Samehe
TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE.

Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie.

TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE.

Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie.
Ukitaka samehe Saba mara sabini.
 
Huyu aache ufala. Birth control zipo nyingi kwanini asifanye?
 
Kwanini mumeweka thread zangu zote humu huu ni unyanyasaji na kunifanya kichwa changu kisiwe tayari kujibu maswali 100 ya sensa hahahahahahahahahahahahahah
 
Ufanyeje? Mafala duniani hawataisha,acha sensa ipite tuwafahamu wengine.
 
Shigongo
 
Ivi akili unaona kweli ???
 
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi yaani mimi huyu huyu ngoja nipite kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…