American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 673
- 974
Huh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brother soma kila sentese matunzo siyo shida shida ni kuwa mke hataki kuendelea kunizalia nifanyejeTukiachana na kukuzalisha vipi wewe unaweza kutoa mchango gani wa kiuchumi kwenye familia?
Au unaweza kuchangia nini kwenye uendeshaji wa familia na maendeleo yake kiujumla?
Brother soma kila sentese matunzo siyo shida shida ni kuwa mke hataki kuendelea kunizalia nifanyeje
Kuna siku tupo kwenye Mjadala na Mdau Mmoja nijaribu Kumuuliza to be honest Kitu gani Mwanamke anaweza kuoffer kwenye familia zaidi ya Mapenzi na Kuzaa.. Wakiwa na Kazi hela zao hazisaidii alipoolewa na ukiuliza hela za mshahara wako ziko wapi atakujibu hazikuhusu wewe ni jukumu lako kuhudumia Familia yako.Nimesoma vizuri mkuu na nimeelewa.
Najua sio wewe, ila nahoji kama huyu bi dada anaweza kuwa na lipi la maana kwenye familia zaidi ya kuzaa?
Ujue wanawake wanasahau kazi yao, kuzaa ndo kumewaleta kwani lipi wanaweza kusaidia?
TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE.
Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie.
Ukitaka samehe Saba mara sabini.TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE.
Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie.
Huyu aache ufala. Birth control zipo nyingi kwanini asifanye?MUME WANGU ANANIZALISHA MFULULIZO KILA MWAKA, NIMECHOKAAA
Duniani Vioja haviishi sasa hata hili kweli , jamani naomba ushauli nifanyaje maana nashindwa kuamua chochote
kaka![]()
Wanawake wanataka nini Jamani wazae shida wasizalishwe shida ..............
![]()
![]()
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanini mumeweka thread zangu zote humu huu ni unyanyasaji na kunifanya kichwa changu kisiwe tayari kujibu maswali 100 ya sensa hahahahahahahahahahahahahahTulivyoachana aliniambia mtoto siyo wa kwangu, ameachwa tena anataka nimrudie
TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE. Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie. "Nilikuwa na mpenzi wangu nilikuwa naishi nae ingawa tulikuwa bado hatujaoana ila tulikuwa tunaishi pamoja kama...www.jamiiforums.com
Which is which?
Wewe ndiye mwanaume mwenye mtoto au wewe ndiye unayezalishwa?unatutatanisha chini ya 15minutes una post mbili na zote hatuzielewi!
Ufanyeje? Mafala duniani hawataisha,acha sensa ipite tuwafahamu wengine.TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE.
Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie.
"Nilikuwa na mpenzi wangu nilikuwa naishi nae ingawa tulikuwa bado hatujaoana ila tulikuwa tunaishi pamoja kama mke na mume na wazazi wake na wa kwangu walilijua hilo..... mahusiano yetu hayakwenda bure tulibahatika kupata mtoto wetu wa kiume.
Kiukweli nilikuwa nampenda sana mpenzi wangu, yani sanaa ingawa yeye alikuwa bado hajawa tayari kuwa mke ndiyo maana alikuwa hataki nimuoe mapema.
Miezi 8 baadae baada ya mtoto kuzaliwa, nilimfumania na mwanaume mwingine wakiwa faragha, badala aniombe msamaha alinitukana sana mbele ya umati wa watu na kusema hata mtoto siyo wa kwangu, ni kihelehele changu tu cha kuhudumia....
Niliumia sana yani ile kauli inaniuma mpaka leo ukizingatia nimelea tangu wiki ya kwanza hadi kujifungua, mtoto hakufanana na mimi ila sikujali maana mtoto anaweza kufanana na mama yake tu kwahiyo sikuwaza sana, kutokana na kauli zile niliumia sana nikaja kumuacha.
Sasa siku za hivi karibuni ananisumbua eti nisamehe ni shetani alimuingia, mara ulikuwa ni utoto mtoto ni wangu, na ameniambia kule pia kaachika, nifanyaje kaka?
Nimecheka balaa japo namsubiri karani kwa hasira
ShigongoTULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE.
Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie.
"Nilikuwa na mpenzi wangu nilikuwa naishi nae ingawa tulikuwa bado hatujaoana ila tulikuwa tunaishi pamoja kama mke na mume na wazazi wake na wa kwangu walilijua hilo..... mahusiano yetu hayakwenda bure tulibahatika kupata mtoto wetu wa kiume.
Kiukweli nilikuwa nampenda sana mpenzi wangu, yani sanaa ingawa yeye alikuwa bado hajawa tayari kuwa mke ndiyo maana alikuwa hataki nimuoe mapema.
Miezi 8 baadae baada ya mtoto kuzaliwa, nilimfumania na mwanaume mwingine wakiwa faragha, badala aniombe msamaha alinitukana sana mbele ya umati wa watu na kusema hata mtoto siyo wa kwangu, ni kihelehele changu tu cha kuhudumia....
Niliumia sana yani ile kauli inaniuma mpaka leo ukizingatia nimelea tangu wiki ya kwanza hadi kujifungua, mtoto hakufanana na mimi ila sikujali maana mtoto anaweza kufanana na mama yake tu kwahiyo sikuwaza sana, kutokana na kauli zile niliumia sana nikaja kumuacha.
Sasa siku za hivi karibuni ananisumbua eti nisamehe ni shetani alimuingia, mara ulikuwa ni utoto mtoto ni wangu, na ameniambia kule pia kaachika, nifanyaje kaka?
Ivi akili unaona kweli ???TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE.