Tuliwaambia kugusa NATO ni kufuru, Urusi ajitetea sana hakuhusika na shambulizi la Poland

Tuliwaambia kugusa NATO ni kufuru, Urusi ajitetea sana hakuhusika na shambulizi la Poland

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kila siku humu pro-Russia wanasema Urusi anapigana na mataifa ya NATO, tumekua tukijibu kwa kuwaambia siku moja ateleze aguse hata kakijiji ka taifa ndani ya NATO ndio mje mseme, sasa kuna kombora limepiga shambani kwenye mpaka wa Poland na kuua watu wawili, Urusi wamekimbilia kukatalia mbali kwamba sio wao walishambulia, wametumia nguvu nyingi sana kujitetea, uchunguzi unafanywa ndio ifahamike nini cha kufanywa baada ya hapo....
Urusi wanasema aliyefanya hilo shambulizi anataka kuwachongea kwa NATO
========================

Russia's defence ministry on Tuesday denied reports that Russian missiles had hit Polish territory, describing them as "a deliberate provocation aimed at escalating the situation".

It added in a statement: "No strikes on targets near the Ukrainian-Polish state border were made by Russian means of destruction."

Wreckage reportedly found at the scene "has nothing to do with Russian weapons", it said.
 
IMG_9818.jpg

IMG_9826.jpg

IMG_9825.jpg
 
Russia angejua tangu Mwanzo asingekubali kuingia kwenye huu mtego wa Vita na Ukraine.

Bora China ilivyokwepa ule Mtego wa Kuishambulia Koloni lake.

Hizi Nchi za Russia na China zinatishia U Super Power wa USA, kwahiyo wameingizwa kwenye Mtego wa Vita ili kudhoofishwa.
 
Asingeanzisha vita pengine Moscow isingekuwepo
Adui (usa) alishafika mlangoni
 
Ndugu acha kujichosha bila sababu...unataka russia wakubali tu hata kama hawajahusika...huo ni mchezo wa zelensky kuwaprovoke NATO ili awagombanishe na Urusi, kama wanaamini urusi ndio kashambulia wanasubiri nini mpaka wanaanza kujiuzauliza.

Then nimegundua NATO ni wazembe kumbe kwenye masuala ya ulinzi hadi muda huu hawajui mashambulizi yametoka wapi....
 
Kila siku humu pro-Russia wanasema Urusi anapigana na mataifa ya NATO, tumekua tukijibu kwa kuwaambia siku moja ateleze aguse hata kakijiji ka taifa ndani ya NATO ndio mje mseme, sasa kuna kombora limepiga shambani kwenye ...
Matokeo ya awali ya Uchunguzi wa Shambulio la Jana huko Poland uliofanywa na Marekani, ni kwamba kombora lililoanguka nchini Poland lilirushwa na jeshi la Ukraine kutungua kombora la Urusi.

Mpo hapo?
 
Russia angejua tangu Mwanzo asingekubali kuingia kwenye huu mtego wa Vita na Ukraine.

Bora China ilivyokwepa ule Mtego wa Kuishambulia Koloni lake.

Hizi Nchi za Russia na China zinatishia U Super Power wa USA, kwahiyo wameingizwa kwenye Mtego wa Vita ili kudhoofishwa.
Sio angejua ila Russia ilikuwa lazima aingie vitan Ukraine, isingekuwa mwezi February bas ingekuja tu maana marekani lengo lake ni kuiangusha Russia ila kupitia Ukraine.
 
Back
Top Bottom