Tuliwaambia kugusa NATO ni kufuru, Urusi ajitetea sana hakuhusika na shambulizi la Poland

Tuliwaambia kugusa NATO ni kufuru, Urusi ajitetea sana hakuhusika na shambulizi la Poland

Ndugu acha kujichosha bila sababu...unataka russia wakubali tu hata kama hawajahusika...huo ni mchezo wa zelensky kuwaprovoke NATO ili awagombanishe na Urusi... kama wanaamini urusi ndio kashambulia wanasubiri nini mpaka wanaanza kujiuzauliza... Then nimegundua NATO ni wazembe kumbe kwenye masuala ya ulinzi hadi muda huu hawajui mashambulizi yametoka wapi....
ww huna akili kama mpak sasa huez kemea Matendo ya Putin halaf unatokeaa nchi dhaif za Afrika
 
Sio angejua ila Russia ilikuwa lazima aingie vitan Ukraine, isingekuwa mwezi February bas ingekuja tu maana marekani lengo lake ni kuiangusha Russia ila kupitia Ukraine.
wewe ni kichaa na hujiujui , kwann hujiuliz Marekan hatumii silaha kupokewa na Mataifa ya east ila Putin ndugu yao anatumia Silaha , Urusi anawaonea sana majiran zake anawaona kama makoloni yake , na hicho ndo hawakitak majiran zake , ifike muda muwaenz babh zenu waliomwaga damu kuwapigania nyiny muwe mnatype kwa uhuru hapo sio leo hii unashabikia matendo ya Urusi yenye uhusiano na ukoloni , huez mpangia mtu nan awe rais nchini mwake huo ni ukolon walikuwa neutral ila Urusi hakuridhika akataka mpk serikali ya Ukraine ipangwe moscow 2013 , Walipogoma akaivamia nchi kwann Usifikirie kujiunga na NATO kama ungekuwa ww umevamiwa na kuporwa eneo lako na jiran bado anapandikiza civil wars , WASWAHILI WENGI WANASHABIKIA BILA KUUMIZA VICHWA VYAO KUJUA WANASHABIKIA NINI WAO WANAJARI KUWA HAWAIPEND USA naWANASHABIKIA UPANDE WENYE UADUI NA USA , SHITHOLE CIUNTRIES
 
Hata kama sio yeye,sisi wamsingizie tu Ili wamalize biashara mapema kama walivyomsingizia Iraq kuwa anatengeneza nuclear!

Mrusi hawezi kupigwa kama yule mwarabu wa Iraq, huyu ni mzungu mwenzao ni vile tu Putin kajifanya kichwa maji, ila Warusi sio mazombi ya kiislamu, nyie tu ndio mnawaabudu mkidhani mnakomoa Marekani. Wazungu hawatakubali kumsambaratisha sana....
 
Hiyo NATO miezi yote ilikuwa wapi au ndio imeundwa jana?
unahisi ni vichaa kama Urusi yenu inapigania vijimbo vinne wkt hajafika popote na linnchi likubwa , China imemkuta na kumuacha mbali , Hata India kamkuta na kumuacha mbali
 
The Polish government blamed a Russian-made missile for the deaths of two of its citizens Tuesday in a blast that stoked sudden fears President Vladimir Putin’s war on Ukraine could escalate into a wider conflict.

Russia denied any involvement, and Polish President Andrzej Duda stressed that his government is not yet sure whether Russia fired the missile.

U.S. President Joe Biden said it was “unlikely” that it was launched from Russia.


NATO WANASANDA kwamba mwamba hahusiki ila hawatuambii ni nani aliyehusika. anyway tusubiri uchunguzi
 
Kama kombola linaonyesha kabisa ni la Urusi, kuna aja gani tena ya kumuliza mtu Urusi.nyie ndo mnatakiwa kuchukua maamuzi

Yeyote anaweza kuandika chochote kwenye kombora, Mrusi aliwahi kukana hilo kombora ila huwa hakani makombora anayopiga kwa wasio wa NATO.
Uchunguzi unafanywa subiri muone kama kweli, huyo mtume wenu Putin analo.
 
Shida anae wapigania, USA, hataki hiyo propaganda yenu ya kujilipua. Kama ni wanaume, Poland na Ukraine wajibu kama wao ni madume.
Ukraine anashusha mkong'oto kwanza amtoe mazima nchin mwake
 
Haya ni maoni yako au ndio uhalisia ulivyo??

Tupo nchi ambayo kilamtua anaweza kuongea tena mambo mazito ya taifa flani bila woga. Lakin hapoalipo hana umeme , maji yanamsumbua na hata uhakika wa chakula chake haupo ila anaweza washaur wa rusi.
Kwan hii ina uhusiano gan na thread , kwan jf kila kitu kinazungumziwa kweny international platform ?
 
Kama kombola linaonyesha kabisa ni la Urusi, kuna aja gani tena ya kumuliza mtu Urusi.nyie ndo mnatakiwa kuchukua maamuzi
watu wa jina lako huwa ni wakurupukaj sana na mnahisi kila mtu mkurupukaj km wavaa kobaz ma andunje , West mpk kuingia vitan wanakuwa na sabab za msingi tyr
 
Sasa kama sio wao waseme ni sisi ?

Unadhani hao ni Al Shabaab ? Pia unadhani kupigana vita vingi ndio umahili / Sifa ? Unafanya mambo ikiwa absolutely necessarily
 
Uanzishe vita kisa makombora mawili yaliyoanguka mpakani? Ila MK254 hua unawakweza nato hadi ni aibu hadi kwa nato wenyewe

Urusi iliwahi kukana hayo makombora mapema, ila akikosea njia na kupiga vitaifa visivyo vya NATO huwa hakani, hutulia tu.
 
Ndugu acha kujichosha bila sababu...unataka russia wakubali tu hata kama hawajahusika...huo ni mchezo wa zelensky kuwaprovoke NATO ili awagombanishe na Urusi... kama wanaamini urusi ndio kashambulia wanasubiri nini mpaka wanaanza kujiuzauliza... Then nimegundua NATO ni wazembe kumbe kwenye masuala ya ulinzi hadi muda huu hawajui mashambulizi yametoka wapi....
NATO ni waoga sana Bomu Hilo limewaonyesha kuwa ulinzi wao no mdogo
 
Sasa kama sio wao waseme ni sisi ?

Unadhani hao ni Al Shabaab ? Pia unadhani kupigana vita vingi ndio umahili / Sifa ? Unafanya mambo ikiwa absolutely necessarily
kwann wanalipua bembea za watoto huko Ukraine na hawakatai ? kwann wanalipua makaz ya watu na hawakatai ?
 
Back
Top Bottom