Tuliwaambia kugusa NATO ni kufuru, Urusi ajitetea sana hakuhusika na shambulizi la Poland

Tuliwaambia kugusa NATO ni kufuru, Urusi ajitetea sana hakuhusika na shambulizi la Poland

Russia angejua tangu Mwanzo asingekubali kuingia kwenye huu mtego wa Vita na Ukraine.

Bora China ilivyokwepa ule Mtego wa Kuishambulia Koloni lake.

Hizi Nchi za Russia na China zinatishia U Super Power wa USA, kwahiyo wameingizwa kwenye Mtego wa Vita ili kudhoofishwa.
Eti super power USA 🤣🤣🤣 Alipigwa kama mtoto na Vietnam, kwa wiki alikuwa anapoteza wanajeshi 520... wakati huo haohao Vietnam walikuwa wanasaidiwa na Russia. Sasa marekani ndo ataweza kuipiga Russia kama aliishindwa Vietnam? Eti super power 🤣
 
Ukishindwa Vita unarudi Kujipanga Mkuu.

Kama huyo Russia alikuwa anataka U Super Power ndiyo angetumia huo mwanya wa Vita vya USA na Vietnam kuwa Juu.

Sasa ameingizwa kwenye Vita pasipo Kujua Mtego mbele yake.

Sasa anapoteza Silaha na Askari kwenye Vita kijinga tu
 
Russia kipindi kile alikuwa super power.. maana ndo USSR yenyewe. Nothing new
 
In ww ii mkombozi wa Russia alikuwa marekani akimuokoa toka mikononi mwa Adolf Hitler naamini kwa technology ilivyokua and still USA is heavyweight of da world mengine ni porojo tuu na anautumia ukubwa wake kimkakati sio kupiga piga tuu. It's like una watoto na fujo zao muda mwingine unawaadhibu so hizo tambo za wengine tuachane nazo tuombe yaishe maisha yaendelee
 
Huwa mnabadilika vzr , Urus anajua kuwahaibisha , jana mnampa kibur Urusi baadae Urusi anajitetea akwepe kipondo leo mnabadilika na kusema kasingiziwa [emoji23][emoji23]
Lama wanadhani Urusi ndio kaffanya waanzishe vita basi tuone.
 
In ww ii mkombozi wa Russia alikuwa marekani akimuokoa toka mikononi mwa Adolf Hitler naamini kwa technology ilivyokua and still USA is heavyweight of da world mengine ni porojo tuu na anautumia ukubwa wake kimkakati sio kupiga piga tuu. It's like una watoto na fujo zao muda mwingine unawaadhibu so hizo tambo za wengine tuachane nazo tuombe yaishe maisha yaendelee
Hujui kitu kuhusu nani alimsimamisha Hitler St Petersburgh..
USA was nowhere near there
 
ww huna akili kama mpak sasa huez kemea Matendo ya Putin halaf unatokeaa nchi dhaif za Afrika
Russia anatakiwa kupongezwa
NAto ndio wa kukemea kwa kuua watu wengi kuanzi Iraq hadi Libya
 
Maarabu ndio nilishakuambia hupaswa yapigwe maana yana uzombi wa kiislamu, ila kwa wazungu, kiaina wanalegeza.
Hizo chuki zako Kwa dini ya kiislamu sio afya kabisa,Mimi ni mkristu lakini siwezi kujiunga mkono Kwa matamshi Yako ya chuki dhidi ya wafuasi wa dini ya kiislamu!
 
Kila siku humu pro-Russia wanasema Urusi anapigana na mataifa ya NATO, tumekua tukijibu kwa kuwaambia siku moja ateleze aguse hata kakijiji ka taifa ndani ya NATO ndio mje mseme, sasa kuna kombora limepiga shambani kwenye mpaka wa Poland na kuua watu wawili, Urusi wamekimbilia kukatalia mbali kwamba sio wao walishambulia, wametumia nguvu nyingi sana kujitetea, uchunguzi unafanywa ndio ifahamike nini cha kufanywa baada ya hapo....
Urusi wanasema aliyefanya hilo shambulizi anataka kuwachongea kwa NATO
========================

Russia's defence ministry on Tuesday denied reports that Russian missiles had hit Polish territory, describing them as "a deliberate provocation aimed at escalating the situation".

It added in a statement: "No strikes on targets near the Ukrainian-Polish state border were made by Russian means of destruction."

Wreckage reportedly found at the scene "has nothing to do with Russian weapons", it said.
Yaani mnabadirika kila wakati kama kinyonga!!
 
Ametuhumiwa kurusha makombora wakati hakurusha..
Ulitaka akubali jambo hajafanya!!?
Kuna watu humu wanafikiri vita kama kumuangalia Mandonga, NATO watafanya nini? kuanzisha vita, unadhani cichaa na wao. General clark kahojiwa CNN anasema hata article 4 na 5 haina maana kutumia nguvu hapo mwenye akili ataelewa. Hakuna atakayeshinda vita wakianzisha zaidi wataimaliza Uerope na Russia atabaki USA tu salama sababu yuko mbali na nchi kubwa.
 
Kupiga kakombora huko kijijini lazima uchunguzi ufanywe sio kitu cha kukurupuka, bomu la mjini ndio huwa rahisi kujua trajectory yake, pia jielimishe NATO sio nchi.
haunazo wewe wapi nimekwambia NATO ni nchi?
 
Sidhani kama hili lingefanyika. USA angeogopa macho ya Dunia kwakuwa ingeonekana ni kama Invasion imefanyika.

Huenda Russia hakuwa na Mshauri mzuri au huenda Kibuli Cha Putin mwenyewe.
Ni kiburi cha Putin kutaka kuonekana yeye ni superior kuliko US.
 
Watafanya makubwa maana kwa sasa Urusi amedhoofishwa na kataifa kadogo tayari, hata hiyo Poland pekee yake bila NATO inaweza kuigaragaza Urusi.
Nakubaliana na wewe 100%
 
Ndugu acha kujichosha bila sababu...unataka russia wakubali tu hata kama hawajahusika...huo ni mchezo wa zelensky kuwaprovoke NATO ili awagombanishe na Urusi... kama wanaamini urusi ndio kashambulia wanasubiri nini mpaka wanaanza kujiuzauliza... Then nimegundua NATO ni wazembe kumbe kwenye masuala ya ulinzi hadi muda huu hawajui mashambulizi yametoka wapi....
Ina maana kama wangejua lazima waanze kukupa taarifa wewe?? wao kama wao,nadhani hadi kufikia sasa wameshajua, nini kimetokea,ila bado kuweka wazi tu baada ya kujiridhisha pasipo shaka.Kwani kuna hisia kuwa huenda hilo kombora ni la ukraine likiwa ktk harakati za kulishambulia kombora la RUSSIA,Urusi yeye anasema ameshambulia km 35 kutoka mpakani mwa poland ndani ya ukraine.kwani wakienda kwenye satelaite tu c ukweli unaonekana?!!ila endapo ikabainika hilo kombora limetoka kwenye majeshibya URUSI!!!Japo uwezekano huo ni mdogo kwa sasa hawezi kufanya mchezo huo,labda iwe kwa bahati mbaya tu,
 
Back
Top Bottom