Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nato iliundwa Kwa ajili ya Russia!Mfano Russia isingekuwepo ukanda Huo,ikawa huko Brazil,basi US Angeenda kuunda umoja wa kujihami huko south America!🤣🤣🤣NATO iliundwa kulinda mataifa dhidi ya uvamizi, ila majibu yao yanategemea na historia ya mvamizi, hivyo majibu yao kwa Urusi lazima iwe ya kumpiga kama kenge.
Mvamizi akiwa mwarabu wenu ndio wanamfuta kabisa.
Una akili za kitoto sana aisee.Warusi hawakuomba msamaha maana hawangeupata, walijitetea na kukana kwa nguvu zote kwamba sio wao, uchunguzi unafanywa kubaini ukweli.
Iraq pia walikataa kwamba hawamiliki siraha za maangamizi jee hii iliwazuia Nato kuwavamia?Urusi iliwahi kukana hayo makombora mapema, ila akikosea njia na kupiga vitaifa visivyo vya NATO huwa hakani, hutulia tu.
Unajielewa kweli mkuu!!? Kwani NATO sasa hawamsaidii Ukraine?? Sema wameogopa ingekuwa nchi kama yako Kenya sasa hivi mngekuwa mmeshajazana TZ kama wakimbizi. Iraq ilisingiziwa tu kuwa na silaha za maangamizi bila ushahidi wowote wakaivamia na mpaka sasa hivi hakuna ushahidi wowote wa silaha za maangamizi. USA ni mashetani kabisa.
Nato iliundwa Kwa ajili ya Russia!Mfano Russia isingekuwepo ukanda Huo,ikawa huko Brazil,basi US Angeenda kuunda umoja wa kujihami huko south America!🤣🤣🤣
Russia dude flani hivi kuuubwa!
Iraq pia walikataa kwamba hawamiliki siraha za maangamizi jee hii iliwazuia Nato kuwavamia?
Vitani hakuna anayekubali tuhuma; mathalani, zipo media zinaripoti kuwa kwa sasa ameishiwa nguvukazi hivyo anapeleka mbele watu wa kuokoteza popote. Mashabiki wa kibongo wanasema ati bado Rusia yuko vizuri kwakuwa ana jeshi kubwa hivyo hawezi ishiwa, aidha, sasa imejidhirisha kuwa sehemu kubwa ya wapiganani wa Rusia ni wale waliokusanywa kutoka pande mbalimbali za dunia kupitia jeshi maarufu la mamluki la Wagner Group, hii ni dhahiri kuwa Rusia ameishiwa nguvu kazi sahihi kwa vita. Vilevile, maeneo yanayolejeshwa chini ya himaya ya Ukraine yamekuwa yakikuta maiti nyingi na makaburi ya halaiki, hii inamaanisha kuwa wengi wa hawa wanaouawa si raia wa Urusi ndiyo maana Urusi haoni jhaja ya kurejesha miili yao nchini kwake. Kwa upande mwingine, Mfano mzuri wa watu wasiofaa walioingizwa vitani ni huyu mhanga kutoka zambia "Nyirenda" aliyefyekwa mstari wa mbele kule Ukraine. Hli hii inafikirisha, huenda, Rusia amepanga kuifanya vita hii kuwa ya muda mrefu, hivyo ameficha vifaa vyake kwa matumizi ya baadae, au, huenda kweli ameishiwaUlitaka akubali jambo hajafanya!!?
Asingeanzisha vita pengine Moscow isingekuwepo
Adui (usa) alishafika mlangoni
Kama ukisikiliza vzr, utajua NATO pia ina hofu kuingia mgogoro na Russia, Rais wa Polland iliyopigwa alisema sio Russia, Joe babu alisema i awezekana sio Russia, ulitegemea Russia asemeje? Kama wanajua ni Russia warusha makombora , ndio utajua hujui.
Wao wamesema Ukraine anataka vita ienee tu. Means wako na fear ya ulaya kuwa majivu
Waarabu watakuwa walikutenda vibaya,sio Kwa chuki hizi🤣🤣🤣Sio Urusi tu, waambieni hata waarabu wa dini yenu washambulie kataifa kamoja ka NATO.
Una ugonjwa wa akili siyo bure!!Urusi akigusa taifa la NATO watamla moja kwa moja, kwanza sasa hivi amedhoofishwa na Ukraine anapigika hata na taifa moja tu la NATO, hao Poland hawatahitaji NATO.
Urusi kwa sasa hata waarabu wenu wanamhama.
Dini yetu akina nani?Hiyo dini yenu ambayo wamesababisha muwe mazombi ya kulipukia watu duniani ndio hunikera...
Una issue personal na warabu. Utakuwa moja ya wakenya mnaofanya kazi za ndani uarabuni, nasikia mnanyanyaswa sana. Wasiliana na agent wako akutoe huko utakufaUchunguzi ulifanywa kabla kupigwa kwa Iraq, sema wale ni waarabu ilibidi wapigwe tu, kwa wazungu Warusi itabidi pawe na umakini maana Warusi hawana hatia, ni uchizi wa Putin tu ndio kero.
Infact Rusia anajuta kwa yanayotokea sasa, imagine, Poland wamepoteza raia wao, na bado Rusia anawalaumu pia------ sasa amemwita balozi wa Poland na kutaka maelezoUrusi ndiye aliwahi mapema kukataa sio kombora la kwake, kaanza kwa kulia lia kwamba anabambikiziwa na kuchonganishwa, sasa sielewi mbona alie alie wakati mwenyewe kaanzisha vita.
Una issue personal na warabu. Utakuwa moja ya wakenya mnaofanya kazi za ndani uarabuni, nasikia mnanyanyaswa sana. Wasiliana na agent wako akutoe huko utakufa