MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #121
Hapa ndo tunapingana.
Vita ya Russia na Ukraine ni vita ya kimkakati kati ya Russia na Nato. (vita kivuli).
Mkuu amini nakwambia Russia anabalance economy , nchi yake haiko fuly vitani .
Ndo maana hata NATO hawataki kumpa Ukraine makombora ya masafa marefu kuishambulia Moscow direct sababu Russia watainvoke 'Article yao' ya kujihami kwa nguvu yeyote. Vita itaisha na maafa makubwa sana .
Kwa hasara aliyoingizwa Urusi na hako kainchi kadogo Ukraine ni mithili ya vita kamili, idadi ya wanajeshi aliopoteza, military inventory iliyotumika mpaka anaishia kuomba misaada, ameishia hata kukusanya wafungwa wakapigane, anaokoteza jeshi la akiba, vijana ambao inabidi awape training, yaani kafikishwa ukutani kabisa, na mbaya zaidi anazidi kufukuziwa maeneo aliyokua ameshikilia, lini supapawa ufukuziwe kihivyo, kuanzia msafara wake kufyekwa Kyev mpaka hapa alipo ni full hasara kila siku.
Kwa sasa hata Waarabu hawamtegemei tena.