Kila siku humu pro-Russia wanasema Urusi anapigana na mataifa ya NATO, tumekua tukijibu kwa kuwaambia siku moja ateleze aguse hata kakijiji ka taifa ndani ya NATO ndio mje mseme, sasa kuna kombora limepiga shambani kwenye mpaka wa Poland na kuua watu wawili, Urusi wamekimbilia kukatalia mbali kwamba sio wao walishambulia, wametumia nguvu nyingi sana kujitetea, uchunguzi unafanywa ndio ifahamike nini cha kufanywa baada ya hapo....
Urusi wanasema aliyefanya hilo shambulizi anataka kuwachongea kwa NATO
========================
Russia's defence ministry on Tuesday denied reports that Russian missiles had hit Polish territory, describing them as "a deliberate provocation aimed at escalating the situation".
It added in a statement: "No strikes on targets near the Ukrainian-Polish state border were made by Russian means of destruction."
Wreckage reportedly found at the scene "has nothing to do with Russian weapons", it said.