Tuliwaambia kugusa NATO ni kufuru, Urusi ajitetea sana hakuhusika na shambulizi la Poland


Inategemea unapenda habari za upande gani, kobaz wote wapo upande wa Urusi...

Poland summons Russian envoy after missile strike kills 2, Biden calls emergency meet with global leaders | Top points​

A Russian-made rocket landed in eastern Poland near Ukraine and killed two citizens in explosions on early Wednesday. This is probably the first time since the invasion of Ukraine that Russian weapons came down on a NATO country. After the explosion, NATO member Poland summoned Russia's ambassador to Warsaw for an explanation after Moscow denied it was responsible.
 
Uzombi waliosababisha kwa kutumia dini yao ndio umeiponza hii dunia....
Leo unakuta Mwafirka unamlipukia Mwafrika mwenzio kwa mabomu kisa dini ya mwarabu.
Bado nakazia we una mambo personal na warabu. Vp kuhusu wazungu wanaochukua bunduki wanaenda shule za watoto wanaua kama wanacheza game, mbona sijaona uzi wako hata mmoja kuwalaumu?
 
Bado nakazia we una mambo personal na warabu. Vp kuhusu wazungu wanaochukua bunduki wanaenda shule za watoto wanaua kama wanacheza game, mbona sijaona uzi wako hata mmoja kuwalaumu?

Hao wazungu hawafanyi hayo kumpigania allah kama hayo mazombi yenu.
 
Hao wazungu hawafanyi hayo kumpigania allah kama hayo mazombi yenu.
Kwahiyo ukiua kwa kumpigania allah na ukiua kwa sababu zako zingine sababu ya pili inakuwa bora kuliko ya kwanza? We una shida binafsi na warabu. Tafuta watu wa saikolojia au mtu yeyote ulie karibu nae na mnaheshimiana na unaweza hata kumsimulia mambo yako ya ndani sana ya aibu huenda hicho ulichonacho moyoni kwa muda mrefu kikakutoka na ukawa free nafsini mwako. Tafuta msaada wa washauri haraka kabla hujacommit suicide
 
Ametuhumiwa kurusha makombora wakati hakurusha..
QUlitaka akubali jambo hajafanya!!?

Swali zuri sana - hawa wanajesemea tu, tangu lini Urusi ikatishwa NYAU???? Just imagine, mataifa karibu 31 including NATO yanachangia kupigana na taifa moja (Urusi) na sio moja kwa moja bali kwa kificho - mwisho wa siku wanaishia wasting TERACALORIES fighting mighty LONE RANGER (Tzar Putin!!)
 

Hakuna kuua kuzuri, ila huku kwa kufanywa mazombi ya kidini huwa kunachukiza sana, sijui mliingiaje kwenye huo mkenge wa mwarabu, mtu unajilipua mabomu eti uende ukagegede mabikira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…