Tuliwaambia/Tunawaambia tena! Uongozi ni kipawa, Hayati Magufuli bado ni shujaa na atakuwa shujaa tuu!

wenzio tulimuomba mungu atuondolee kiongozi DICTETA UCHWARA
Hatimaye dua zikaitika
kaondoka yeye Lisu aliyemiminiwa risasi yu hai bukheri wa afya
mungu hachezewi
Umewahi kufikiri kwamba, Mungu haruhusu ajali zitokee Kwa watu wake?

Iweje Mungu aruhusu ajali mbaya ya namna hiyo Kwa Lissu?

Fikiri vinginevyo Ila usiruhusu ujinga uliokujaa kufikiri Mungu anaweza kutoa adhabu kali kiasi hiko Kwa lissu!

Na labda ieleweke kwamba, Baada ya kifo cha Yesu msalabani, hukumu moja pekee iliyobaki Kwa watu wote, watenda mema na wabaya, ni hukumu ya siku moja!

Mungu hatoi adhabu nyinginezo kama ufikirivyo wewe kijana!

Na angekuwa anatoa adhabu za papo Kwa papo, wasingelikuwepo wajenzi wa Gesti hata mmoja, wewe mwenyewe unadhambi kibao, unafikiri hustahili kufa ikiwa ndio wenye dhambi Kwa mtazamo wako ndio wanastahili kufa peke yao?

Unadhambi ngapi ambazo basi tu Mungu amekuacha?

Wauwaji Wangapi ambao mpaka Leo wapo na wanaendelea kuuwa watu na Mungu anawaona kila Leo!

Mwache Mungu, ni mtatifu mno kijana,

Tunaishi tu Kwa Neema, Putin ana damu Ngapi za raia wasio na hatia na yupo?

Usirudie tenA kusema eti wewe unaweza kuwa mtu usiye na dhambi na ukaanza kuombea wenye dhambi wafe!

Mheshimu Mungu tafadhari kijana
 
Pumbavu Hakuna unachojua wewe.
 
Alifanya nini?
 

Inabidi uzoehe kuondokewa na umpendaye. Bila hivyo utachanganyikiwa.
 
Hapana,
Karma ndio ilimuondoa Magufuli. Huwezi kumlamba risasi mwana CHADEMA ukabaki hai. Damu ya mtu ni nzito kuliko maji. Kaondoka kamuacha Lissu akiwa hai.
 

Tujenge system imara na sio kutegemea Rais atakuwaje, ndio maana pamoja na Magufuli kufanya aliyoifanya bado matatizo ni yaleyale. Maji ya mgao, umeme wa mgao, ajira hakuna, ufisadi etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…