Tuliwaambiaga mkatupinga na mkatukatalia. Sasa wote tunaona jinsi Rais Samia anavyorekebisha

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,485
Ni mapema mno Kujua Samia atatufikisha wapi,lakini kwa hizi siku chache tu,tumkosoe akikosea na pia tumsifu akipatia.
Kwa siku hizi chache Mimi nasema tunaweza angalau kumsifia kwa kuwa ameagiza kuondoa Mambo Yale yaliyokua yanaumiza wananchi lakini watu waliiogopa kusema.Mama kwa mda mfupi karekebisha.

Mfano suala la Kodi na bugudha kwa wafanyabiashara,watu walisema biashara zinakufa na wafanyabiashara/wawekezaji wanahamisha biashara.

Mlibisha na kutetea.
Tulisema akaunti za benki zinavamiwa na fedha zinachukuliwa mkatetea uovu huo.
Kesi mahakamani zilikua Ni kuwakomoa wakosoaaji mkapinga.

Uonevu uonevu uonevu mkasema hai Ni ufipa hawafati sheria,mkaja na misemo ya kizandiki ufipa tiini sheria bila shuruti.

Mkazuia magazeti
Mkatisha TV
Mkatisha redio
Mkazima bunge
Aah Mambo Ni mengi Sasa tuliyowaambia Samia ameanza kuyafungulia,
Kwa kifupi miaka sita ilikua ya hofu mashaka na majonzi.

Sijui labda Samia abadilike lakini kwa siku hizi chache sisi wapenda haki tumeona wema wake,tunaombea tu aruhusu Siasa za kistaarabu sio za kuwindana Kama wanyama.
 
Mama Samia is a breathe of fresh air.
Yapendeza kama marashi ya Visiwani.
 
Hakika huyu mama anaonekana dhahiri kuwa alikuwa akifanya kazi chini ya mwendazake "under protest"
 
Waliokuwa wanafunga biashara walisemekana kuwa ni mafisadi na majizi......
 
Aguse kwa watumishi mei mosi
 
Haya uyasemayo yalisemwa sana hapa, lakini wapambe wa malaika walikuja na majibu mengi ya kuchafue tumbo.
Nadhani sasa wanaona fedheha.
Ni dhahiri mama Samia hakukubaliana na vitendo vya kugeuza maisha ya mtanzania kuishi kama shetani kwenye nchi yake.

Kila la kheri mama Samia
 
Kwenye kukusanya kodi asifanye siasa akae na timu yake washauriane vizuri.Hili si jambo la kulitolea tamko tu research inahitajika.

Duniani nchi zote zilizoendelea hawana utani na masuala ya kodi. Na haijawahi kutokea watu kufurahia kulipa kodi.

Kuna miradi mkubwa inahitaji fedha na inatekelezwa kwa fedha za ndani. Awamu ya 4 walizembea kukusanya tukaaanza kutembeza bakuli kwa tuliowaita WAHISANI.

Kulikuwa na mianya mingi wawekazaji waliitumia kukwepa kodi kwa kutumia kigezo cha Tax holiday. Ilikuwa ni kawaida sana katika top 10 ya walipa kodi wakubwa makampuni ya madini hayapo.

Tulishuhudia mahotel yakibadilishwa majina mara tu walikaribia kufikia muda wa kulipa kodi.

ICD na bonded warehouse zilijaa mpaka vichochoroni.
 
Back
Top Bottom