Tuliwaambiaga mkatupinga na mkatukatalia. Sasa wote tunaona jinsi Rais Samia anavyorekebisha

Tuliwaambiaga mkatupinga na mkatukatalia. Sasa wote tunaona jinsi Rais Samia anavyorekebisha

Kwenye kukusanya kodi asifanye siasa akae na timu yake washauriane vizuri.Hili si jambo la kulitolea tamko tu research inahitajika.

Kuna miradi mkubwa inahitaji fedha na inatekelezwa kwa fedha za ndani. Awamu ya 4 walizembea kukusanya tukaaanza kutembeza bakuli kwa tuliowaita WAHISANI.

Kusema wakusanye kwa akili ni kufanya siasa. Wamejiwekea target kubwa kuliko aliyetangulia. Awamu ya nne deni la taifa lilikuwa dogo kuliko miaka 5 ya awamu ya 5
 
Kuna Awamu iliyotembeza bakuli Kama ya huyi wenu mwendazake??? Unajua deni la Taifa kwa kipindi chake cha miaka aliyokaa tu limezidi deni la Taifa la Awamu ya nne kwa miaka 10????

Nyie wafuasi wa Jiwe Embu acheni kuonesha ujinga wenu waziwazi. Kama aliwa brainwash nyie basi mkome kutulisha huo ujinga wenu
 
Ni mapema mno Kujua Samia atatufikisha wapi,lakini kwa hizi siku chache tu,tumkosoe akikosea na pia tumsifu akipatia.
Kwa siku hizi chache Mimi nasema tunaweza angalau kumsifia kwa kuwa ameagiza kuondoa Mambo Yale yaliyokua yanaumiza wananchi lakini watu waliiogopa kusema.Mama kwa mda mfupi karekebisha.
Mfano suala la Kodi na bugudha kwa wafanyabiashara,watu walisema biashara zinakufa na wafanyabiashara/wawekezaji wanahamisha biashara.
Mlibisha na kutetea.
Tulisema akaunti za benki zinavamiwa na fedha zinachukuliwa mkatetea uovu huo.
Kesi mahakamani zilikua Ni kuwakomoa wakosoaaji mkapinga.
Uonevu uonevu uonevu mkasema hai Ni ufipa hawafati sheria,mkaja na misemo ya kizandiki ufipa tiini sheria bila shuruti.
Mkazuia magazeti
Mkatisha TV
Mkatisha redio
Mkazima bunge
Aah Mambo Ni mengi Sasa tuliyowaambia Samia ameanza kuyafungulia,
Kwa kifupi miaka sita ilikua ya hofu mashaka na majonzi.
Sijui labda Samia abadilike lakini kwa siku hizi chache sisi wapenda haki tumeona wema wake,tunaombea tu aruhusu Siasa za kistaarabu sio za kuwindana Kama wanyama.
Kuna vitu vinapita kichwani mwangu, inawezekana wazanzibar ni wapenda haki na wana hofu ya Mungu kweli, Mimi ni mkristu lakini nimeanza kuwaza kwamba inawezekana kuna ombwe kubwa LA mafunzo ya utu, hofu ya Mungu na huruma kati ya wakristo na waislamu, maana tofauti imekuwa dhahiri ukilinganisha
 
Ebu tutajie mikopo ambayo unaifahamu mjukuu wa Tundu Lissu. Tunapozingumzia deni la taifa kuna ambayo yapo tangu enzi za awamu ya 1.

Usiropoke vitu ambavyo hauna uelewa navyo. Serikali ipi ilishawahi kukaribia ama kufuta deni la taifa?
 
Kuna vitu vinapita kichwani mwangu, inawezekana wazanzibar ni wapenda haki na wana hofu ya Mungu kweli, Mimi ni mkristu lakini nimeanza kuwaza kwamba inawezekana kuna ombwe kubwa LA mafunzo ya utu, hofu ya Mungu na huruma kati ya wakristo na waislamu, maana tofauti imekuwa dhahiri ukilinganisha
Hawa watu wako tofauti Sana lazima tuseme hata kama sio dini yetu. Wanajua kuna kesho watatakiwa kutoa hesabu.
 
Ni mapema mno Kujua Samia atatufikisha wapi,lakini kwa hizi siku chache tu,tumkosoe akikosea na pia tumsifu akipatia.
Kwa siku hizi chache Mimi nasema tunaweza angalau kumsifia kwa kuwa ameagiza kuondoa Mambo Yale yaliyokua yanaumiza wananchi lakini watu waliiogopa kusema.Mama kwa mda mfupi karekebisha.
Mfano suala la Kodi na bugudha kwa wafanyabiashara,watu walisema biashara zinakufa na wafanyabiashara/wawekezaji wanahamisha biashara.
Mlibisha na kutetea.
Tulisema akaunti za benki zinavamiwa na fedha zinachukuliwa mkatetea uovu huo.
Kesi mahakamani zilikua Ni kuwakomoa wakosoaaji mkapinga.
Uonevu uonevu uonevu mkasema hai Ni ufipa hawafati sheria,mkaja na misemo ya kizandiki ufipa tiini sheria bila shuruti.
Mkazuia magazeti
Mkatisha TV
Mkatisha redio
Mkazima bunge
Aah Mambo Ni mengi Sasa tuliyowaambia Samia ameanza kuyafungulia,
Kwa kifupi miaka sita ilikua ya hofu mashaka na majonzi.
Sijui labda Samia abadilike lakini kwa siku hizi chache sisi wapenda haki tumeona wema wake,tunaombea tu aruhusu Siasa za kistaarabu sio za kuwindana Kama wanyama.
Mara baada ya waziri mkuu msitaafu Edward Lowasa kujiunga na kuinunua Chadema ili awe mgombea urais mwaka 2015 , kitu cha kwanza kabisa alipokabidhiwa tu chama alipiga marufuku siasa za kiharakati na kushauri siasa hizo hazina tija kwa sasa. Edward Lowasa alionya kuwa Chadema lazima igraduate kutoka chama cha kiharakati hadi kuwa chama cha siasa sasa.

Edward Lowasa alifafanua madhara ya chama kubaki cha kiharakati muda wote kuwa ni pamoja na kupinga maendeleo yote ya nchi ,kuombea mabaya nchi ,kushirikiana na mabeberu ili kuiibia nchi ,pamoja na kushangilia kila lililobaya kwa taifa ili kumfurahisha tu anayefadhili hizo harakati zako. Matokeo ya harakati hizi ni chama kuchukiwa na wazalendo na kupoteza ushawishi kwa wananchi.
Hakika Lowasa aliona mbali. Leo brand ya chadema imeharibiwa vibaya, chama kilichojizolea umarufu kwa kutetea wanyonge leo kinataka machinga na mama ntilie wafukuzwe mitaani!!! Leo ni furaha kubwa kwa Chadema ndege kukamatwa na wazungu!!!

Pia tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha hayati rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.

Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.

Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.

Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia
 
Kwenye kukusanya kodi asifanye siasa akae na timu yake washauriane vizuri.Hili si jambo la kulitolea tamko tu research inahitajika.

Duniani nchi zote zilizoendelea hawana utani na masuala ya kodi. Na haijawahi kutokea watu kufurahia kulipa kodi.

Kuna miradi mkubwa inahitaji fedha na inatekelezwa kwa fedha za ndani. Awamu ya 4 walizembea kukusanya tukaaanza kutembeza bakuli kwa tuliowaita WAHISANI.

Kulikuwa na mianya mingi wawekazaji waliitumia kukwepa kodi kwa kutumia kigezo cha Tax holiday. Ilikuwa ni kawaida sana katika top 10 ya walipa kodi wakubwa makampuni ya madini hayapo.

Tulishuhudia mahotel yakibadilishwa majina mara tu walikaribia kufikia muda wa kulipa kodi.

ICD na bonded warehouse zilijaa mpaka vichochoroni.
Umefanya utafiti wa nchi nyingine kuhusu tax compliance? Hapa ni kodi zinakuwa ngumu sababu ya nguvu badala ya akili.
 
Hawa watu wako tofauti Sana lazima tuseme hata kama sio dini yetu. Wanajua kuna kesho watatakiwa kutoa hesabu.
Kuna mafundisho ya msingi ya dini yanasema 'lila mchunga atajaulizwa siku moja juu ya kile alichokichunga katika uhai wake '.Muumini wa kweli akitokea kuongoza watu huwa na hofu sana na hilo biti.
 
Umefanya utafiti wa nchi nyingine kuhusu tax compliance? Hapa ni kodi zinakuwa ngumu sababu ya nguvu badala ya akili.
Tutajie hizo kodi ili zifanyie kazi hatutaki hoja za jumla jumla. Tupe mifano
 
Utawala unaoendeshwa kwa siri una maovu mengi sana.
 
Kwenye kukusanya kodi asifanye siasa akae na timu yake washauriane vizuri.Hili si jambo la kulitolea tamko tu research inahitajika.

Duniani nchi zote zilizoendelea hawana utani na masuala ya kodi. Na haijawahi kutokea watu kufurahia kulipa kodi.

Kuna miradi mkubwa inahitaji fedha na inatekelezwa kwa fedha za ndani. Awamu ya 4 walizembea kukusanya tukaaanza kutembeza bakuli kwa tuliowaita WAHISANI.

Kulikuwa na mianya mingi wawekazaji waliitumia kukwepa kodi kwa kutumia kigezo cha Tax holiday. Ilikuwa ni kawaida sana katika top 10 ya walipa kodi wakubwa makampuni ya madini hayapo.

Tulishuhudia mahotel yakibadilishwa majina mara tu walikaribia kufikia muda wa kulipa kodi.

ICD na bonded warehouse zilijaa mpaka vichochoroni.
Nondo hizi nzuri zingeambatana na figures umependeza kwani tungeona nani kati ya JPM na JK alitegemea sana wahisani kwa kutuwekea deni la faida au mikopo tuliyochukua kati ya wawili hao.
 
Msikilize Jpm hapa
Unapoteza muda kusikilizisha mapumbavu haya ambayo yanajaribu kumtoa mama kwenye njia, mdanganyeni ajaribu kwenda kinyume na JPM muione NGUVU YA UMMA HALISI acha hiyo yenu ya kujiita "wananchi" wakati hata uwanja wa mpira hamjazi, (watanzania wa nyuma ya keyboard).
 
It is without a dought kwamba JPM alipika propaganda za hatari na alifanikiwa kuwapata chawa waliokuwa half-brainwashed maana wengine ni njaa tu zilikuwa zinawasumbua..utawala wake umeacha negative impacts kubwa sana kushinda positive impacts.
 
Back
Top Bottom