lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Mama Samia is a breathe of fresh air.Ni mapema mno Kujua Samia atatufikisha wapi,lakini kwa hizi siku chache tu,tumkosoe akikosea na pia tumsifu akipatia.
Kwa siku hizi chache Mimi nasema tunaweza angalau kumsifia kwa kuwa ameagiza kuondoa Mambo Yale yaliyokua yanaumiza wananchi lakini watu waliiogopa kusema.Mama kwa mda mfupi karekebisha.
Mfano suala la Kodi na bugudha kwa wafanyabiashara,watu walisema biashara zinakufa na wafanyabiashara/wawekezaji wanahamisha biashara.
Mlibisha na kutetea.
Tulisema akaunti za benki zinavamiwa na fedha zinachukuliwa mkatetea uovu huo.
Kesi mahakamani zilikua Ni kuwakomoa wakosoaaji mkapinga.
Uonevu uonevu uonevu mkasema hai Ni ufipa hawafati sheria,mkaja na misemo ya kizandiki ufipa tiini sheria bila shuruti.
Mkazuia magazeti
Mkatisha TV
Mkatisha redio
Mkazima bunge
Aah Mambo Ni mengi Sasa tuliyowaambia Samia ameanza kuyafungulia,
Kwa kifupi miaka sita ilikua ya hofu mashaka na majonzi.
Sijui labda Samia abadilike lakini kwa siku hizi chache sisi wapenda haki tumeona wema wake,tunaombea tu aruhusu Siasa za kistaarabu sio za kuwindana Kama wanyama.
Hakika huyu mama anaonekana dhahiri kuwa alikuwa akifanya kazi chini ya mwendazake "under protest"Ni mapema mno Kujua Samia atatufikisha wapi,lakini kwa hizi siku chache tu,tumkosoe akikosea na pia tumsifu akipatia.
Kwa siku hizi chache Mimi nasema tunaweza angalau kumsifia kwa kuwa ameagiza kuondoa Mambo Yale yaliyokua yanaumiza wananchi lakini watu waliiogopa kusema.Mama kwa mda mfupi karekebisha.
Mfano suala la Kodi na bugudha kwa wafanyabiashara,watu walisema biashara zinakufa na wafanyabiashara/wawekezaji wanahamisha biashara.
Mlibisha na kutetea.
Tulisema akaunti za benki zinavamiwa na fedha zinachukuliwa mkatetea uovu huo.
Kesi mahakamani zilikua Ni kuwakomoa wakosoaaji mkapinga.
Uonevu uonevu uonevu mkasema hai Ni ufipa hawafati sheria,mkaja na misemo ya kizandiki ufipa tiini sheria bila shuruti.
Mkazuia magazeti
Mkatisha TV
Mkatisha redio
Mkazima bunge
Aah Mambo Ni mengi Sasa tuliyowaambia Samia ameanza kuyafungulia,
Kwa kifupi miaka sita ilikua ya hofu mashaka na majonzi.
Sijui labda Samia abadilike lakini kwa siku hizi chache sisi wapenda haki tumeona wema wake,tunaombea tu aruhusu Siasa za kistaarabu sio za kuwindana Kama wanyama.
Waliokuwa wanafunga biashara walisemekana kuwa ni mafisadi na majizi......Ni mapema mno Kujua Samia atatufikisha wapi,lakini kwa hizi siku chache tu,tumkosoe akikosea na pia tumsifu akipatia.
Kwa siku hizi chache Mimi nasema tunaweza angalau kumsifia kwa kuwa ameagiza kuondoa Mambo Yale yaliyokua yanaumiza wananchi lakini watu waliiogopa kusema.Mama kwa mda mfupi karekebisha.
Mfano suala la Kodi na bugudha kwa wafanyabiashara,watu walisema biashara zinakufa na wafanyabiashara/wawekezaji wanahamisha biashara.
Mlibisha na kutetea.
Tulisema akaunti za benki zinavamiwa na fedha zinachukuliwa mkatetea uovu huo.
Kesi mahakamani zilikua Ni kuwakomoa wakosoaaji mkapinga.
Uonevu uonevu uonevu mkasema hai Ni ufipa hawafati sheria,mkaja na misemo ya kizandiki ufipa tiini sheria bila shuruti.
Mkazuia magazeti
Mkatisha TV
Mkatisha redio
Mkazima bunge
Aah Mambo Ni mengi Sasa tuliyowaambia Samia ameanza kuyafungulia,
Kwa kifupi miaka sita ilikua ya hofu mashaka na majonzi.
Sijui labda Samia abadilike lakini kwa siku hizi chache sisi wapenda haki tumeona wema wake,tunaombea tu aruhusu Siasa za kistaarabu sio za kuwindana Kama wanyama.
Ndiyo ujinga ambao wengi walilishwa na kuamini.Waliokuwa wanafunga biashara walisemekana kuwa ni mafisadi na majizi......
Kweli kabisaNdiyo ujinga ambao wengi walilishwa na kuamini.
Katika eneo hili tukubali JPM alivurunda.
Aguse kwa watumishi mei mosiNi mapema mno Kujua Samia atatufikisha wapi,lakini kwa hizi siku chache tu,tumkosoe akikosea na pia tumsifu akipatia.
Kwa siku hizi chache Mimi nasema tunaweza angalau kumsifia kwa kuwa ameagiza kuondoa Mambo Yale yaliyokua yanaumiza wananchi lakini watu waliiogopa kusema.Mama kwa mda mfupi karekebisha.
Mfano suala la Kodi na bugudha kwa wafanyabiashara,watu walisema biashara zinakufa na wafanyabiashara/wawekezaji wanahamisha biashara.
Mlibisha na kutetea.
Tulisema akaunti za benki zinavamiwa na fedha zinachukuliwa mkatetea uovu huo.
Kesi mahakamani zilikua Ni kuwakomoa wakosoaaji mkapinga.
Uonevu uonevu uonevu mkasema hai Ni ufipa hawafati sheria,mkaja na misemo ya kizandiki ufipa tiini sheria bila shuruti.
Mkazuia magazeti
Mkatisha TV
Mkatisha redio
Mkazima bunge
Aah Mambo Ni mengi Sasa tuliyowaambia Samia ameanza kuyafungulia,
Kwa kifupi miaka sita ilikua ya hofu mashaka na majonzi.
Sijui labda Samia abadilike lakini kwa siku hizi chache sisi wapenda haki tumeona wema wake,tunaombea tu aruhusu Siasa za kistaarabu sio za kuwindana Kama wanyama.
Bando hakunaMsikilize Jpm hapa
Nchi nzima italipuka kwa nderemo na vifijoAguse kwa watumishi mei mosi
Bora azinyooshe taga,zimezidi kuona nizadaraja la juu zaidi ya wazalendo wa kweli wa taifa letu.Mama Samia is a breathe of fresh air.
Yapendeza kama marashi ya Visiwani.
Ndugai naye eti kapata nafuu hadi anasema "Angekuwa yule mwingine"!!Ccm wamechanganyikiwa kuhusu Mambo afanyayo mama rais.Mpaka ndugai anasema mama hatabiriki? Haahaa