Kingereza sio lugha ya wazunguKwa wale waumini wa kiingereza, tuliwaambieni ya kuwa siyo kila mmoja anakiabudu hiki kilugha cha Malkia kama Wakenya mnavyodhani.
Pia ikumbukwe, kwa Wakenya wote, siyo kila mzungu mweupe anajua Kiingereza. Kuna idadi kubwa sana ya wazungu ambao Kiingereza kwao wala siyo kitu. Ndiyo maana sasa wameamua kurejea kwenye lugha zao za asili.
EU should stop speaking ‘broken English’ after Brexit, says French minister
France’s Clément Beaune pledges concrete action to enhance ‘linguistic diversity.’www-politico-eu.cdn.ampproject.org
Nilidhani ndio wametoa kabisa kiingereza kumbe bado wanajadili kama waendelee kuongea broken english au waanze kuongea lugha yao ya mama. Hata hao beberu wameathiriwa na kizungu kiasi cha kwamba wote wanakizungumza hata kama ni broken. Kiingereza ni international na hata wapende wasipende itabidi wakizungumze tu. Halafu Europeans wengi wanakiongea kizungu japo broken. I am speaking from experience. Wenyewe kwa wenyewe wanatumia broken english kuongeleshana. Sasa unategemea vipi waache kuitumia international lingua franca?Kwa wale waumini wa kiingereza, tuliwaambieni ya kuwa siyo kila mmoja anakiabudu hiki kilugha cha Malkia kama Wakenya mnavyodhani.
Pia ikumbukwe, kwa Wakenya wote, siyo kila mzungu mweupe anajua Kiingereza. Kuna idadi kubwa sana ya wazungu ambao Kiingereza kwao wala siyo kitu. Ndiyo maana sasa wameamua kurejea kwenye lugha zao za asili.
EU should stop speaking ‘broken English’ after Brexit, says French minister
France’s Clément Beaune pledges concrete action to enhance ‘linguistic diversity.’www-politico-eu.cdn.ampproject.org
Nilidhani ndio wametoa kabisa kiingereza kumbe bado wanajadili kama waendelee kuongea broken english au waanze kuongea lugha yao ya mama. Hata hao beberu wameathiriwa na kizungu kiasi cha kwamba wote wanakizungumza hata kama ni broken. Kiingereza ni international na hata wapende wasipende itabidi wakizungumze tu. Halafu Europeans wengi wanakiongea kizungu japo broken. I am speaking from experience. Wenyewe kwa wenyewe wanatumia broken english kuongeleshana. Sasa unategemea vipi waache kuitumia international lingua franca?
Ukienda Ufaransa utapata wafaransa wengi wanaoongea kiingereza. Vile vile Ukienda Ujerumani utapata situation hiyo hiyo. Huwezi kutudanganya. Wao Europeans wanaongeleshana lugha ipi? Hata wakisema wakifanye ufaransa kuwa lugha ya EU, itawachukua muda mwingi kujifunza lugha hio maana wengi wamejifunza Kiingereza.Kwa akili yako wewe unafikiri wakijadili watasema kiingereza kiendelee kama kilugha cha EU?
Nimewahi sema hapa mara nyingi ya kuwa ukiwa ulaya, kiingereza ni kwa ajili ya waingereza tu. wengine wanaenzi lugha zao kama sisi tunavyoenzi lugha ya kiswahili.
Nyie endeleeni kukiabudu kilugha cha malkia mkongwe.
Huu ndio ukweli.Ukienda Ufaransa utapata wafaransa wengi wanaoongea kiingereza. Vile vile Ukienda Ujerumani utapata situation hiyo hiyo. Huwezi kutudanganya. Wao Europeans wanaongeleshana lugha ipi? Hata wakisema wakifanye ufaransa kuwa lugha ya EU, itawachukua muda mwingi kujifunza lugha hio maana wengi wamejifunza Kiingereza.
Mimi nimefika hadi huko kwao na nimeona jinsi wengi wao wanakifahamu kiingereza. Japo ni kiingereza cha kubahatisha bahatisha lakini wengi wao wanakifahamu kwa kiasi fulani.Huu ndio ukweli.
Umekasirika[emoji23][emoji23][emoji23]Ila ni lugha ya wakikuyu.
Umekasirika[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnataja taja wazungu kwn uliambiwa kingereza ni cha wazungu..
We boya nn, eti mbona kuna wazungu hawakiongei!!kwn uliambiwa kingereza ni cha wazungu
Ukienda Ufaransa utapata wafaransa wengi wanaoongea kiingereza. Vile vile Ukienda Ujerumani utapata situation hiyo hiyo. Huwezi kutudanganya. Wao Europeans wanaongeleshana lugha ipi? Hata wakisema wakifanye ufaransa kuwa lugha ya EU, itawachukua muda mwingi kujifunza lugha hio maana wengi wamejifunza Kiingereza.
Nionyeshe ni wapi nimesema nilienda Ujerumani. Nimesema nilienda Europe. Nilienda kwa nchi ambayo ni jirani ya Ujerumani. Na sio lazima uniamini. Maana huko kwenu hamutembei nje ya nchi. Zaidi ya kuzunguka ndani ya nchi yenu. Halafu Europeans wengi wanakifahamu kiingereza hata kama ni kidogo tu. Hio ndio fact na haitobadilika.Hizo story kawape kibera boys wenzako. Ulienda Ujerumani ipi ikawakuta wanaongea kiingereza?
Hayo unayasema wewe, yani usomee ujerumani mtaala mzima alafu umerudi kwenu buza hata ripoti hujui kuandika kw kijerumani..Huna la kuniambia wewe mbunghua. Nyie mko obsessed na kiingereza in such a way you relate it with intelligence. Anybody who is not speaking English is relatively less intelligent than the one who do.