mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
kwani inachukua muda gani kujua kiingereza,maana naona mnatka kukuza mambo ya siyokua.Kwanini alitaka kujua?
Yaani kiongozi wa ngazi za juu wa nchi yenye uchumi imara ajifunze English halafu akina siye tukipige vita.
Huku kwetu wanaokipiga vita wengi wao ni baada ya kukishindwa(labda kutokana Na kutokuwa Na mazingira rafiki ya kujifunza)