eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
- Thread starter
- #41
Unaongea na mtu ambaye ameishi huko. Kwanza lugha hio tulifunzwa kwa kutumia lugha ya kiingereza. Walimu wetu walikuwa wanafahamu kiingereza.
Hichi ndicho kitabu tulichotumia semester ya kwanza.
View attachment 1677649
Na hiki ni kingine.
View attachment 1677650
Venus Star Geza Ulole The best 007
🤣🤣🤣
Kumbe ulisomea Balkan. Teh teh tihii.
Wewe itakuwa ulienda kusoma huko undergraduate if at all ulienda.
Kwa masters, wanakuwa international students. Wanasoma kwa kiingereza.
🤣🤣🤣