Watapinga hyo, wakati mtu ukienda uhispanyola utakuta mkalimani atangangan kukutafsiria kw kingerezaUkienda Ufaransa utapata wafaransa wengi wanaoongea kiingereza. Vile vile Ukienda Ujerumani utapata situation hiyo hiyo. Huwezi kutudanganya. Wao Europeans wanaongeleshana lugha ipi? Hata wakisema wakifanye ufaransa kuwa lugha ya EU, itawachukua muda mwingi kujifunza lugha hio maana wengi wamejifunza Kiingereza.
Safi sana. Kuna watu wanajua eti Kiingereza ndio Lugha ya wazungu wote.Kingereza sio lugha ya wazungu
Huyo ni wa kupuuzwaSijui huyu Mlazy anapinga nini na hata huyo beberu kwenye hio article aliyopost anakiri wazi kwamba wao wanaongea broken english. Yaani beberu mwenyewe anakiri kwamba wanaongea kiingereza na huyu Mlazy anataka kupinga. Halafu anatuita watu wa Kibera.
Hayo unayasema wewe, yani usomee ujerumani mtaala mzima alafu umerudi kwenu buza hata ripoti hujui kuandika kw kijerumani..
Watu watakuonaje km wewe sio mburula, yani hapo hamna kitu ulichoelewa hko shule..
Ni sawa na nyie hko bongo part 2 ya elimu yenu ni kingereza lkn hata barua mtu hajui kuandika kisha mtu anasingizia eti lugha ya mabeberu wakati yeye ndio kilaza[emoji23][emoji23][emoji23]
Nionyeshe ni wapi nimesema nilienda Ujerumani. Nimesema nilienda Europe. Nilienda kwa nchi ambayo ni jirani ya Ujerumani. Na sio lazima uniamini. Maana huko kwenu hamutembei nje ya nchi. Zaidi ya kuzunguka ndani ya nchi yenu. Halafu Europeans wengi wanakifahamu kiingereza hata kama ni kidogo tu. Hio ndio fact na haitobadilika.
Sawa.Enda kasimulie kijiwe za kibera hizo uongo.
Kabisa, tena sana sana katika biashara za kuvuka mipakaSafi sana. Kuna watu wanajua eti Kiingereza ndio Lugha ya wazungu wote.
Kwa Ulaya lugha yenye native speaker wengi ni Kijerumani ambao wanachukua 20%. Ulaya nzima native speaker wa kiingereza ni 1%.
Kiingereza wengi wanakiongea kama additional language.
Kwahiyo Mjerumani akikutana na Mfaransa wataongea lugha gani !!Kwa akili yako wewe unafikiri wakijadili watasema kiingereza kiendelee kama kilugha cha EU?
Nimewahi sema hapa mara nyingi ya kuwa ukiwa ulaya, kiingereza ni kwa ajili ya waingereza tu. wengine wanaenzi lugha zao kama sisi tunavyoenzi lugha ya kiswahili.
Nyie endeleeni kukiabudu kilugha cha malkia mkongwe.
Nimefika Finland, Ujerumani, Korea Kusini, Msumbiji, Angola, Guinea ya Ikweta na Gabon na English ndio yalikuwa mawasiliano yangu. Sijataja nchi zinazotumia English nilizofika ambazo hiyo ni official language yao. Whenever you are in this world English ndo mawasiliano muhimu zaidi
Option ya English ipo. Usikariri hata gates za airport wana English piaUlivyofika Finland na Germany ulivyoingia kwenye ATM zao au sehemu yoyote ile, ulikuta sign board ya lugha gani?
Option ya English ipo. Usikariri hata gates za airport wana English pia
Kabisa bro. Nimejaribu kusema hivyo lakini muanzisha uzi akakasirika. Anafikiria kwamba itakuja kutokea siku ambapo watu wa dunia watakosa kuzungumza kiingereza. Hio ndio lugha ya dunia. Hata wazungu ambao wanatokea nchi ambazo kiingereza sio lugha yao ya asili bado wengi wao wanakifahamu hata kama ni kidogo tu.Nimefika Finland, Ujerumani, Korea Kusini, Msumbiji, Angola, Guinea ya Ikweta na Gabon na English ndio yalikuwa mawasiliano yangu. Sijataja nchi zinazotumia English nilizofika ambazo hiyo ni official language yao. Whenever you are in this world English ndo mawasiliano muhimu zaidi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila ni lugha ya wakikuyu.
Huyo eliakeem sidhani kama amewahi kufika nchi yoyote ya Europe. Maana kama angekuwa amefika huko angefahamu kuwa kiingereza kinatumika sana hata kwenye mahoteli. Kati ya kila waiters kumi, takriban wanne au watano wanaweza kuzungumza kiingereza hata kama ni kidogo tu. Halafu baadhi ya signage yameandikwa kwa lugha ya mama na pia yameandikwa kwa kiingerezaOption ya English ipo. Usikariri hata gates za airport wana English pia
Huyo eliakeem sidhani kama amewahi kufika nchi yoyote ya Europe. Maana kama angekuwa amefika huko angefahamu kuwa kiingereza kinatumika sana hata kwenye mahoteli. Kati ya kila waiters kumi, takriban wanne au watano wanaweza kuzungumza kiingereza hata kama ni kidogo tu. Halafu baadhi ya signage yameandikwa kwa lugha ya mama na pia yameandikwa kwa kiingereza
Safi sana. Kuna watu wanajua eti Kiingereza ndio Lugha ya wazungu wote.
Kwa Ulaya lugha yenye native speaker wengi ni Kijerumani ambao wanachukua 20%. Ulaya nzima native speaker wa kiingereza ni 1%.
Kiingereza wengi wanakiongea kama additional language.