Tuliwaambieni siyo kila mmoja anasujudia Kiingereza kama ninyi. Oneni EU wanachofanya baada ya BrExit

kwani inachukua muda gani kujua kiingereza,maana naona mnatka kukuza mambo ya siyokua.
 
Ata Kama hatujafika nchi za nje sawa,ndo utuambie apo turkana ndo umefika Europe,ebu kuwa siliasi mkuu
 
Kingereza bado itabakia lugha mama kwao...





Cc: mahondaw

Shida ni kwamba, Kuna watu walikuwa hawamini kwamba kuna weupe wengi tu wanaongea kiingereza kilichovunjika vunjika. Ndiyo maana walikuwa wakiwashukia waTanzania. Na kuikuza issue kuwa kuubwa. Tuliokuwa na exposure na uelewa tofauti, tukawa tunasema kuongea kiingereza kilichovunjika, siyo issue kubwa kama mbhughua za kibera zinavyotaka kuwaaminisha watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…