Tuliwaonya hawakusikia walipendwa wakadeka wanaaibika mwisho wa ubaya ni aibu! poleni Chadema hii ndio maana ya kufariki kwa chadema

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
walijifanya wajuaji waliambiwa kuongelea na kusimamia misingi ya Kero za wananchi wakakengeuka wakawa hawaambiliki wakashupaza shingo wakafikiri wanapendwa ndugu zangu bora msingeomba maridhiano uchwara mnaaibika wananchi wa mwanza wana hasira na nyie hawataki kuwasikia uwanja mweupe hakuna mtu ama kweli Magufuli a anaishi mioyoni mwa Watanzania wanampenda sana Watanzania wamelipia gharama ya upendo kwa Magufuli kwa kuwasusia Hawa wapinzani wasiojitambua
 
This is jus' "Ho' jealous" Zama zenu zimepita na hazirud tena!! Tafuteni cha kufanya hamna nafas tena kutawala nchi kama mlivyofanya!! Teka, tesa, uaa, bambikia kesi za uhujumu uchumi, pora pesa za wafanyabiashara, weka magereza wapinzani, fukuza Prof Assad haraka cz anatuchunguza matumizi yetu!!!
 
yani cha kuchekesha ID yako unapenda chama cha upinzani nchi za watu ila kwako unajifanya kijinga
 
Hiyo ni dalili kuwa wanamkubali Sana Samia
 
Baada ya dalili zote za mkutano wa Chadema jijini Mwanza kudoda, katibu mkuu wa chama hicho bwana Mnyika ameonekana akizurula mitaani na masokoni akikagua bei ya vyakula na changamoto mbalimbali zinazowakumba wananchi, lakini namshauri ili apate angalau uungwaji mkono kidogo kutoka kwa wananchi wa Mwanza aende atembelee miradi yote waliyokuwa wakiipinga kama daraja la kigongo- busisi na ujenzi wa meli mpya ziwa victoria maarufu kama Mv Mwanza hapa kazi tu.
Akifika kwenye hiyo miradi awaombe wananchi wasimame kwa dakika moja kama heshima kwa mwasisi wa miradi hiyo hayati rais Magufuli na kisha awaombe radhi wana Mwanza kwa yote yaliyopita.
 
Unalia tu, huku chanzo cha machozi yako hutaki kutuambia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…