Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
walijifanya wajuaji waliambiwa kuongelea na kusimamia misingi ya Kero za wananchi wakakengeuka wakawa hawaambiliki wakashupaza shingo wakafikiri wanapendwa ndugu zangu bora msingeomba maridhiano uchwara mnaaibika wananchi wa mwanza wana hasira na nyie hawataki kuwasikia uwanja mweupe hakuna mtu ama kweli Magufuli a anaishi mioyoni mwa Watanzania wanampenda sana Watanzania wamelipia gharama ya upendo kwa Magufuli kwa kuwasusia Hawa wapinzani wasiojitambua