HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
We nawe hata ufananiii na uchawa...ona sasa!!!Hili la kushupaza shingo ni kweli, https://www.jamiiforums.com/threads...-19-ni-mashujaa-kuendelea-ubunge-wao.1815648/ sasa wamebadilika, hawajashupaza tena shingo!, kiongozi wao amekwenda kupiga magoti mbele kwa Mama na kutubu makosa yake, Mama akawasamehe, sasa hawajakengeuka tena, sasa wanaambilika hata leo wataongea vizuri tuu!.
P
Aliyeshupaza shingo ni yule aliyefyekwa na Corona,leo hii nchi imepona. Mungu fundi sanaHili la kushupaza shingo ni kweli, https://www.jamiiforums.com/threads...-19-ni-mashujaa-kuendelea-ubunge-wao.1815648/ sasa wamebadilika, hawajashupaza tena shingo!, kiongozi wao amekwenda kupiga magoti mbele kwa Mama na kutubu makosa yake, Mama akawasamehe, sasa hawajakengeuka tena, sasa wanaambilika hata leo wataongea vizuri tuu!.
P
Je!This is jus' "Ho' jealous" Zama zenu zimepita na hazirud tena!! Tafuteni cha kufanya hamna nafas tena kutawala nchi kama mlivyofanya!! Teka, tesa, uaa, bambikia kesi za uhujumu uchumi, pora pesa za wafanyabiashara, weka magereza wapinzani, fukuza Prof Assad haraka cz anatuchunguza matumizi yetu!!!
Na bado tunasisitiza shetani Magufuli aendelee kuwaka moto kadri Mwenyezi Mungu itakavyompendeza!walijifanya wajuaji waliambiwa kuongelea na kusimamia misingi ya Kero za wananchi wakakengeuka wakawa hawaambiliki wakashupaza shingo wakafikiri wanapendwa ndugu zangu bora msingeomba maridhiano uchwara mnaaibika wananchi wa mwanza wana hasira na nyie hawataki kuwasikia uwanja mweupe hakuna mtu ama kweli Magufuli a anaishi mioyoni mwa Watanzania wanampenda sana Watanzania wamelipia gharama ya upendo kwa Magufuli kwa kuwasusia Hawa wapinzani wasiojitambua
Kwanza wewe ulikwisha laaniwa hata ujikombe vipi utaendelea kusaga soli katika corridors za CCM bila mafanikio!Kuna vitu vingine hauwezi kusema!.
P
Kaka yake na Mbowe alikufa kwa corona, na mbowe ndiyo alitangaza kifo huku akitoa machoziAliyeshupaza shingo ni yule aliyefyekwa na Corona,leo hii nchi imepona. Mungu fundi sana
Hii comment ni ushahidi kwamba sio kila mzee anakua na busara. Hata matahira wanazeeka!Hili la kushupaza shingo ni kweli, https://www.jamiiforums.com/threads...-19-ni-mashujaa-kuendelea-ubunge-wao.1815648/ sasa wamebadilika, hawajashupaza tena shingo!, kiongozi wao amekwenda kupiga magoti mbele kwa Mama na kutubu makosa yake, Mama akawasamehe, sasa hawajakengeuka tena, sasa wanaambilika hata leo wataongea vizuri tuu!.
P
Kwani kaka yake Mbowe alimnyima nani haki ya kuishi?Kaka yake na Mbowe alikufa kwa corona, na mbowe ndiyo alitangaza kifo huku akitoa machozi
Unachekesha subiri nitume pichawalijifanya wajuaji waliambiwa kuongelea na kusimamia misingi ya Kero za wananchi wakakengeuka wakawa hawaambiliki wakashupaza shingo wakafikiri wanapendwa ndugu zangu bora msingeomba maridhiano uchwara mnaaibika wananchi wa mwanza wana hasira na nyie hawataki kuwasikia uwanja mweupe hakuna mtu ama kweli Magufuli a anaishi mioyoni mwa Watanzania wanampenda sana Watanzania wamelipia gharama ya upendo kwa Magufuli kwa kuwasusia Hawa wapinzani wasiojitambua
Who is magu by the wayLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli ni kali mno.
Walitukana mamba kabla ya kuvuka mto
Hizi ni dalili Samia anakubalika mno bila kutumia mtutu amewamaliza wapinzani
walijifanya wajuaji waliambiwa kuongelea na kusimamia misingi ya Kero za wananchi wakakengeuka wakawa hawaambiliki wakashupaza shingo wakafikiri wanapendwa ndugu zangu bora msingeomba maridhiano uchwara mnaaibika wananchi wa mwanza wana hasira na nyie hawataki kuwasikia uwanja mweupe hakuna mtu ama kweli Magufuli a anaishi mioyoni mwa Watanzania wanampenda sana Watanzania wamelipia gharama ya upendo kwa Magufuli kwa kuwasusia Hawa wapinzani wasiojitambua
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli ni kali mno.
Walitukana mamba kabla ya kuvuka mto
Naomba picha za uwanja ukiwa tupu
Kama kawaida chama kimejaa matusi. Ngoja tuone leo kama mtajaza lidaladala lenuππ€£ππ€π
Labda ccm wataenda kuzomea au kuwasanifu. Ngoja tusubiri picha. πββοΈπββοΈ
Hili la kushupaza shingo ni kweli, https://www.jamiiforums.com/threads...-19-ni-mashujaa-kuendelea-ubunge-wao.1815648/ sasa wamebadilika, hawajashupaza tena shingo!, kiongozi wao amekwenda kupiga magoti mbele kwa Mama na kutubu makosa yake, Mama akawasamehe, sasa hawajakengeuka tena, sasa wanaambilika hata leo wataongea vizuri tuu!.
P
Huo mkutano ni muda gani?
Baada ya dalili zote za mkutano wa Chadema jijini Mwanza kudoda, katibu mkuu wa chama hicho bwana Mnyika ameonekana akizurula mitaani na masokoni akikagua bei ya vyakula na changamoto mbalimbali zinazowakumba wananchi, lakini namshauri ili apate angalau uungwaji mkono kidogo kutoka kwa wananchi wa Mwanza aende atembelee miradi yote waliyokuwa wakiipinga kama daraja la kigongo- busisi na ujenzi wa meli mpya ziwa victoria maarufu kama Mv Mwanza hapa kazi tu.
Akifika kwenye hiyo miradi awaombe wananchi wasimame kwa dakika moja kama heshima kwa mwasisi wa miradi hiyo hayati rais Magufuli na kisha awaombe radhi wana Mwanza kwa yote yaliyopita.