HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
We nawe hata ufananiii na uchawa...ona sasa!!!Hili la kushupaza shingo ni kweli, https://www.jamiiforums.com/threads...-19-ni-mashujaa-kuendelea-ubunge-wao.1815648/ sasa wamebadilika, hawajashupaza tena shingo!, kiongozi wao amekwenda kupiga magoti mbele kwa Mama na kutubu makosa yake, Mama akawasamehe, sasa hawajakengeuka tena, sasa wanaambilika hata leo wataongea vizuri tuu!.
P