Tuliwaonya hawakusikia walipendwa wakadeka wanaaibika mwisho wa ubaya ni aibu! poleni Chadema hii ndio maana ya kufariki kwa chadema

CHADEMA ilishajifia 2015 baada ya kujipa kazi ya kumtetea mtu aliyekua na kashfa ya ufisadi na kumfanya mgombea wao wa urais. Kinachoendelea ni mbinu tu za Mbowe kama mmiliki wa Chama kuendelea kujipigia tu mihela ya ruzuku.
 
Acha uongo. Unamfanya Samia Kama Mungu. Eti alipiga magoti na kutubu dhambi. Bado upo mbali Sana unaabudu wanadamu wenzako na kuwapa hadhi ya umungu.
Duh...!. Mkuu econonist , wewe tuko nawe humu toka Jul 11, 2015, mpaka leo ni miaka 8, bado hujaijua tofauti ya waabudu watu na ma independent commentators?.

Kwa taarifa yako ni mimi ndiye niliye zuia Magufuli kuabudiwa https://www.jamiiforums.com/threads...asiabudiwe-asiogopwe-bali-aheshimiwe.1023305/

Kuna wana jf wenzetu tena waandamizi walianza kumuabudu JPM, tuliwaonya https://www.jamiiforums.com/threads...io-mungu-na-kwenye-utawala-ni-katiba.1221131/

Na pia nikasema kuna uwezo yule msaidizi wa wake, aliyemuita Magu "Mungu" na Magu akasmile na kunyamaza badala ya kukemea, kukamponza!.

Hiyo ya kutaka kumwabudu Magufuli, sasa hao waabudu watu wamehamia kwa Samia, wanataka kumuabudu Samia, hivyo ni mimi tena nimemsaidia Samia kwa hili!. https://www.jamiiforums.com/threads/wa-kuabudiwa-kutukuzwa-na-kusujudiwa-ni-mungu-pekee.2014068/

Hivyo mimi sii miongoni mwa wanaomfanya Samia kuwa Mungu mtu!. Tena mimi ndio nimewasisitiza watu humu https://www.jamiiforums.com/threads...-ya-kukoseshwa-tumvumilie-tumpe-muda.1883239/
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…