Tuliwasaidia israel kwenye vita tulizuia drones kadhaa za Iran-"Ufaransa

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
695
Reaction score
1,817
Naweza nikathibitisha ya kwamba jeshi la ufaransa lilizuia drones 10 zilizorushwa na jeshi la Iran katika operesheni yao ya kushambulia Israel siku kadhaa zilizopita kupitia mifumo yetu ya ulinzi na Rafael fighter jet

-Sebastian Le cornu
 
Macron muongo sana, anacho wania hapo ni publicity STUNT tu,ndio maana nchi za Kiafrica zilizo kuwa na uhusiano wa Kijeshi, biashara no Ufaransa zimehamua kuwatimua Wafaransa, Wafaransa ni wazabina zabina, hivi sasa wanawachochea Waukraine hasa Zelensky aendeleze vita na Urusi ie pasipatikane suluhu ili Wafaransa no nchi nyingine za magharibu waendelee kuuza silaha.
 
chanzo please
 
Attachments

  • Screenshot_20250626_172658_Chrome.jpg
    Screenshot_20250626_172658_Chrome.jpg
    259.9 KB · Views: 34
Macron muongo sana, anacho wania hapo ni publicity STUNT tu,ndio maana nchi za Kiafrica zilizo kuwa na uhusiano wa Kijeshi, biashara no Ufaransa zimehamua kuwatimua Wafaransa, Wafaransa ni wazabina zabina, hivi sasa wanawachochea Waukraine hasa Zelensky aendeleze vita na Urusi ie pasipatikane suluhu ili Wafaransa no nchi nyingine za magharibu waendelee kuuza silaha.
Ukweli ni upi Sasa?
 
Back
Top Bottom