son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 695
- 1,817
Macron muongo sana, anacho wania hapo ni publicity STUNT tu,ndio maana nchi za Kiafrica zilizo kuwa na uhusiano wa Kijeshi, biashara no Ufaransa zimehamua kuwatimua Wafaransa, Wafaransa ni wazabina zabina, hivi sasa wanawachochea Waukraine hasa Zelensky aendeleze vita na Urusi ie pasipatikane suluhu ili Wafaransa no nchi nyingine za magharibu waendelee kuuza silaha.Naweza nikathibitisha ya kwamba jeshi la ufaransa lilizuia drones 10 zilizorushwa na jeshi la Iran katika operesheni yao ya kushambulia Israel siku kadhaa zilizopita kupitia mifumo yetu ya ulinzi na Rafael fighter jet
-Sebastian Le cornu
chanzo pleaseNaweza nikathibitisha ya kwamba jeshi la ufaransa lilizuia drones 10 zilizorushwa na jeshi la Iran katika operesheni yao ya kushambulia Israel siku kadhaa zilizopita kupitia mifumo yetu ya ulinzi na Rafael fighter jet
-Sebastian Le cornu
chanzo please
Ukweli ni upi Sasa?Macron muongo sana, anacho wania hapo ni publicity STUNT tu,ndio maana nchi za Kiafrica zilizo kuwa na uhusiano wa Kijeshi, biashara no Ufaransa zimehamua kuwatimua Wafaransa, Wafaransa ni wazabina zabina, hivi sasa wanawachochea Waukraine hasa Zelensky aendeleze vita na Urusi ie pasipatikane suluhu ili Wafaransa no nchi nyingine za magharibu waendelee kuuza silaha.