Mlandege
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,195
- 576
Lukaku ni mzigo
Mzigo wa magoli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lukaku ni mzigo
Lukaku ni finished product...perfect for Epl, Lacazetta is good but untried kwa Epl hurdles...mark my words, he will struggle big time.....Lukaku wenu kumpata
Lacazetta anaingia mara 10
Hujui hivyo vitimu vya hovyo ndio vilitoa sare na Manchester na kumkosesha top four, Sasa tumepata wa kuvifunga hivyo vitimu vya hovyoPole kwa mourinho.. lukaku huwa anavioneaga vitimu vidogo vidogo tu
Huyo uliemjibu itakuwa hajui EPL vizuri hao ndio mashabik wa Live ScoreHujui mpira Wa ligi mkuu, mfano man u last season imetoka droo zinazokaribia 10 tena kribu zote OT na timu kama stoke, burnley... N.k. mfano ukikusanya hzo points man u angetoka kwenye chumba chake cha 6, probably angekua top two. Lazma ushinde mechi ndogo ili ubebe ubingwa, mechi kubwa unaenda kwa mahesabu tu, kujazia points
Between United na Gunners nani masikini...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kweli maskin akibahatka
Kupata anasahau hata
Alikotokea
Nimekuuliza, ikiwa timu zote kubwa zikishinda mechi zao against timu ndogo unadhani bingwa atapatikanaje!Hujui mpira Wa ligi mkuu, mfano man u last season imetoka droo zinazokaribia 10 tena kribu zote OT na timu kama stoke, burnley... N.k. mfano ukikusanya hzo points man u angetoka kwenye chumba chake cha 6, probably angekua top two. Lazma ushinde mechi ndogo ili ubebe ubingwa, mechi kubwa unaenda kwa mahesabu tu, kujazia points
Ibra alitoka ufaransa kuzifunga timu ndogo ndogo kama unavyosema, lkn ndiye kinara wa mabao kwa Man U kwa msimu uliokwisha, hapo unamuongelea mchezaji Mzee! Vipi kwa Lacazette? Ukijua kufunga umejua tu!Ahahahaaaaa....chondechonde musimuuze giroud....kumbuka lacazette anachezea bench timu ya taifa giroud anaanza. Pia musidhani epl ndio league 1 ya ufaransa anakoongoza kufunga vitimu vya hovyohovyo tuu.
Punguza ushabiki..lete facts za kusuport hisia zako... Hii ni ligi dhaifu sana inayowakutanisha washindwa!Between United na Gunners nani masikini...[emoji2][emoji2][emoji2]
He laughs better, he who laughs last brother....
Europa league siyo ya spoti spoti....plenty of games with long distances travelling....ni energy draining competition....
With your top 4 position gone....am afraid gunners mtasuburi sana kurudi champions league unless mupitie Europa league which is not guaranteed either......
Hiyo ni unrealistic! Sasa timu kubwa zitashindaje mechi zote kubwa? Yaan, chelsea azipige top six zote nje ndani? Never in epl. Liver last season alishinda mechi nying zaid za topsix, stl akawa namba 4, ubingwa mkuu uko kwa timu ndogo. Fergie husema, u cant afford to loose against likes of burnley af uexpect kuwin ndoo ya ligi kuu. So morinyo anaalijua hilo, na conte analijua hilo hata wenga analjua hilo. Big match ni 50 50, humpig mtu nje ndani... KizembeNimekuuliza, ikiwa timu zote kubwa zikishinda mechi zao against timu ndogo unadhani bingwa atapatikanaje!
Time will tell....tunasubiri kuwaona dhaifu arsenal wakishinda hilo kombe la madhaifu na kupata nafasi champions league next season maana top 4 ni ndoto.....Punguza ushabiki..lete facts za kusuport hisia zako... Hii ni ligi dhaifu sana inayowakutanisha washindwa!
Kigezo cha wingi wa timu sio ubora wa ligi husika! Ndo sababu mara nyingi kombe hili hubebwa na drop out wa champions league! Why?.... ni kwa sababu hukutana na mkusanyiko wa timu dhaifu... Na hutokea mara nyingi drop out wa champions league kukutana hatua za semifinals na hata final.....
Chelsea alitoka kushindwa champions league akaenda kubebwa na hiki kikombe, the same to Man U...
Usimfananishe simba na mwanadamu wewe......Ibra alitoka ufaransa kuzifunga timu ndogo ndogo kama unavyosema, lkn ndiye kinara wa mabao kwa Man U kwa msimu uliokwisha, hapo unamuongelea mchezaji Mzee! Vipi kwa Lacazette? Ukijua kufunga umejua tu!
Hull city na crystal palace zilitetemesha baadhi ya vigogo leo hii wako wapi?Acha uongo wewe...huwezi kuwa bingwa wa EPL kama unazifunga timu ndogo na kufungwa ama kushindwa kuzifunga timu kubwa! Lazima uwachape wababe wenzio ili kujitenganisha kileleni.. Fikiria nyote mmeshinda mechi ndogo ndogo, kisha big mechi upigwe, utapataje ubingwa?
Maybe hukunielewa mkuu.. sikatai,lukaku ni jembe epl.. hata hivo bado ni flop japokuwa alifunga magoli 25.. manne kati ya hayo 25 ndo kazifunga timu kubwa na moja kati ya manne ilikuwa penalty siku ya mwisho vs arsenal..Hujui hivyo vitimu vya hovyo ndio vilitoa sare na Manchester na kumkosesha top four, Sasa tumepata wa kuvifunga hivyo vitimu vya hovyo
lacazzette ndo habari ya mujini hao akina lukalu bado sanaTULIOKUWA HATUYAJUI KUHUSU LUKAKU NA KUJIUNGA MAN UNITED:
Limekuwa dili la kushtukiza kwa man utd fans na hata mashabiki wengine wa soka lakini mchambuzi na mtangazaji wa kituo cha sky sport HQ anaefahamika kama James cooper amefichua kuwa lukaku alikuwa ni target number 1 ya mastriker aliowahitaji mourinho.
James cooper anasema kuwa baada ya ligi kumalizika jose mourinho alimkabidh Woodward list ya wachezaj aliowahitaji. Kwenye list kulikuwa na mahitaji ya wachezaj wa4. Striker kiungo mkabaji beki pamoja na left wing. Katika kila position kulikuwa na majina ya wachezaj wa4. Mfano ktk position ya mastriker kulikuwa n majina manne nayo ni 1.lukaku 2.morata 3.belloti na wa 4.harry kane.
James cooper anaendelea kusema kuwa lukaku ndo alikuwa chaguo la kwanza kwa mourinho sema Woodward aliona amfukuzie zaid morata sababu lukaku ilionekana zaidi angependa kurudi Chelsea. Pia Woodward aliona morata angepatikana kwa bei ndogo pauni million 60 tofaut na lukaku aliekuwa anapatikana kwa euromillion 100..hivyo Woodward aliona n faida zaidi kumsajir morata. Alipoona madrid wanamuza morata kwa paunmillion 80 akaona haina maana n bora amsajir lukaku kwa paun million 75 ambaye pia ndio first option ya mourinho.
[HASHTAG]#sports[/HASHTAG] iq: LUKAKU NI CHAGUO SAHIHI KWA UNITED?
Wazungu wanasema exactly yes..binafsi nawashangaa mashabiki wa united wanapokuwa na hofu juu ya LUKAKU..mm nasema n usajir sahihi na ningependa usajir ukamilike.
Kwanza kabla sijachambua kuhusu kufiti kwa lukaku united ningependa tujue kuwa mastriker wamekuwa bidhaa adimu sokoni. Harry kane hanunuliki.,belloti pesa ndefu tofaut n uwezo wake.,morata Madrid hawakuwa tayar kufanya biashara n United.
Msimu ulioisha lukaku amefunga magoli 25 akiwa na Everton. N magoli mengi sana kwa striker wa timu km Everton kuyafunga. Man united n moja kati ya timu inayotengeneza nafas nyingi za kufunga uwanjan tatizo lipo kweny umaliziaji.
Unapokuwa n watu km pogba mata mikhtaryan martial Kweny timu yako huhitaji kingine zaidi ya striker ambaye n finisher(goal pocher) yaani striker asiye n mambo mengi bali n kufunga tu. Vuta kumbukumbu nyuma kuna wakat mourinho alitaman chicharito angekuwepo kweny timu akimaanisha timu imekosa mtu anaejua kuji position n kufunga.
Ukiwatazama lukaku n morata..wanatofautiana sana.,morata n striker mweny mambo mengi km akina sanchez lkn lukaku akili yake inawaza kufunga tu km lewandowsky.
Pia Mourinho alimchagua lukaku kweny list yake km namba moja kwa sababu tayar LUKAKU ameshadhihirisha uwezo wake epl. Kumleta morata au belloti epl n sawa n kucheza kamari wanaweza wakachemsha epl c ya mchezo mchezo akina soldado negredo dzeko walichemka epl.
NOTE:ni heri kumsajir LUKAKU ili pia degea asiondoke kuliko kumsajir morata n degea kuondoka (wenye akili wamenielewa)
Let's talk abt football
Bakisha maneno.mwezi wa nane kesho tu.in shaa allah.Siye na Lacanyavu( Lacazette)wetu niny pigeni lamri uko na Lukaku wenu...