Tuliyokuwa hatuyajui kuhusu LUKAKU na Kujiunga Man United

Tuliyokuwa hatuyajui kuhusu LUKAKU na Kujiunga Man United

Lukaku hajafikia hadhi ya kucheza man u.
Atabebeshwa mzigo mkubwa.na akishindwa ni lawama na hapo atapotea kabisa.kama di maria,depay.
Si kweli,

Chelsea walkuwa wanamtaka pia,that depicts his abilities. Lakini pia kama unataka top striker na sokon wanaopatikana ni morata, lukaku, harry kane (kwa kuvizia) lewandosk (not 4 sale)...utakuwa Wa ajabu kutokujaribu kumsajl lukaku. I believe the lad wil produce.
 
TULIOKUWA HATUYAJUI KUHUSU LUKAKU NA KUJIUNGA MAN UNITED:

Limekuwa dili la kushtukiza kwa man utd fans na hata mashabiki wengine wa soka lakini mchambuzi na mtangazaji wa kituo cha sky sport HQ anaefahamika kama James cooper amefichua kuwa lukaku alikuwa ni target number 1 ya mastriker aliowahitaji mourinho.

James cooper anasema kuwa baada ya ligi kumalizika jose mourinho alimkabidh Woodward list ya wachezaj aliowahitaji. Kwenye list kulikuwa na mahitaji ya wachezaj wa4. Striker kiungo mkabaji beki pamoja na left wing. Katika kila position kulikuwa na majina ya wachezaj wa4. Mfano ktk position ya mastriker kulikuwa n majina manne nayo ni 1.lukaku 2.morata 3.belloti na wa 4.harry kane.

James cooper anaendelea kusema kuwa lukaku ndo alikuwa chaguo la kwanza kwa mourinho sema Woodward aliona amfukuzie zaid morata sababu lukaku ilionekana zaidi angependa kurudi Chelsea. Pia Woodward aliona morata angepatikana kwa bei ndogo pauni million 60 tofaut na lukaku aliekuwa anapatikana kwa euromillion 100..hivyo Woodward aliona n faida zaidi kumsajir morata. Alipoona madrid wanamuza morata kwa paunmillion 80 akaona haina maana n bora amsajir lukaku kwa paun million 75 ambaye pia ndio first option ya mourinho.

[HASHTAG]#sports[/HASHTAG] iq: LUKAKU NI CHAGUO SAHIHI KWA UNITED?

Wazungu wanasema exactly yes..binafsi nawashangaa mashabiki wa united wanapokuwa na hofu juu ya LUKAKU..mm nasema n usajir sahihi na ningependa usajir ukamilike.

Kwanza kabla sijachambua kuhusu kufiti kwa lukaku united ningependa tujue kuwa mastriker wamekuwa bidhaa adimu sokoni. Harry kane hanunuliki.,belloti pesa ndefu tofaut n uwezo wake.,morata Madrid hawakuwa tayar kufanya biashara n United.

Msimu ulioisha lukaku amefunga magoli 25 akiwa na Everton. N magoli mengi sana kwa striker wa timu km Everton kuyafunga. Man united n moja kati ya timu inayotengeneza nafas nyingi za kufunga uwanjan tatizo lipo kweny umaliziaji.

Unapokuwa n watu km pogba mata mikhtaryan martial Kweny timu yako huhitaji kingine zaidi ya striker ambaye n finisher(goal pocher) yaani striker asiye n mambo mengi bali n kufunga tu. Vuta kumbukumbu nyuma kuna wakat mourinho alitaman chicharito angekuwepo kweny timu akimaanisha timu imekosa mtu anaejua kuji position n kufunga.

Ukiwatazama lukaku n morata..wanatofautiana sana.,morata n striker mweny mambo mengi km akina sanchez lkn lukaku akili yake inawaza kufunga tu km lewandowsky.

Pia Mourinho alimchagua lukaku kweny list yake km namba moja kwa sababu tayar LUKAKU ameshadhihirisha uwezo wake epl. Kumleta morata au belloti epl n sawa n kucheza kamari wanaweza wakachemsha epl c ya mchezo mchezo akina soldado negredo dzeko walichemka epl.

NOTE:ni heri kumsajir LUKAKU ili pia degea asiondoke kuliko kumsajir morata n degea kuondoka (wenye akili wamenielewa)

Let's talk abt football
Naunga mkono 100%

Lukaku mtu mwingine, hajawai kunichania mkeka
 
Hujui hivyo vitimu vya hovyo ndio vilitoa sare na Manchester na kumkosesha top four, Sasa tumepata wa kuvifunga hivyo vitimu vya hovyo
Hivi Lukaku amezuiwa na mahakama kuzifunga hizo timu kubwa au ni vipi? Halàfu hizo timu kubwa ni zipi mbona niliona amewafunga Man city au hii ni timu ndogo!?
 
Punguza ushabiki..lete facts za kusuport hisia zako... Hii ni ligi dhaifu sana inayowakutanisha washindwa!
Kigezo cha wingi wa timu sio ubora wa ligi husika! Ndo sababu mara nyingi kombe hili hubebwa na drop out wa champions league! Why?.... ni kwa sababu hukutana na mkusanyiko wa timu dhaifu... Na hutokea mara nyingi drop out wa champions league kukutana hatua za semifinals na hata final.....
Chelsea alitoka kushindwa champions league akaenda kubebwa na hiki kikombe, the same to Man U...
Acha uongo wako mbona Manchester united katwaa hiki taji la Europa licha ya kukutana na ajax ambae alidrop kutoka champions League
 
Usimfananishe simba na mwanadamu wewe......
Ibrah kacheza Netherlands, Italy twice, Spain, France na England....kote huko with success...
Unamfananisha na huyo kinda....[emoji1] [emoji1] [emoji1] ....

Wenger alimtaka Ibra kwa majaribio...unajua alijibiwa nini..."Zlatan don't do auditions"......[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ulaya hamna majaribio, wenger nae!
 
Maybe hukunielewa mkuu.. sikatai,lukaku ni jembe epl.. hata hivo bado ni flop japokuwa alifunga magoli 25.. manne kati ya hayo 25 ndo kazifunga timu kubwa na moja kati ya manne ilikuwa penalty siku ya mwisho vs arsenal..

Msimu wa 2015/16 alifunga magoli 18 na goli moja kati ya hayo aliifunga liverpool ( kwene draw ya 1-1)..

Sasa assume mnacheza na timu kubwa na mnahitaji muujiza.. kweli utamtegemea lukaku???? ni bora aingie ibrakadabra na magongo yake anayotembelea..huwezi juwa anaeza funga[emoji24]
Sijui kama unajua Mpira,
 
Back
Top Bottom