Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Walibebeshwa majukumu wakina Beckham, Nevile Brothers , Giggs Wakiwa makinda wadogo na kubeba kombe la uefa mwaka 1999....Lukaku hajafikia hadhi ya kucheza man u.
Atabebeshwa mzigo mkubwa.na akishindwa ni lawama na hapo atapotea kabisa.kama di maria,depay.
Sembuse Lukaku ambae tangu Mwaka 2014 ametikisa nyavu Mara 68 nyuma Ya Aguero na H. Kane