Tuliyokuwa hatuyajui kuhusu LUKAKU na Kujiunga Man United

Lukaku aliuzwa na Mourinho na kipindi kile walikuwa wanatupiana vijembe kwenye media, mpaka Mourinho akasema dogo hakuweza kuhandle pressure ya Chelsea.

Nadhani Lukaku kakubali kurudiana na mourinho sababu ya vitu viwili. Cha kwanza ni mtonyo. Nadhani atakuwa anavuta nyingi mno kama za Pogba. Sina uhakika Chelsea wangempa hizo. Cha pili ni ahadi kwamba atakuwa first choice striker. Kwa Chelsea sasa hali ni tete na saga la Diego Costa lisipokuwa solved mapema, hata huyo Morata, Belloti au Chicharito haendi pale.
 
Lukaku wenu kumpata
Lacazetta anaingia mara 10
Lukaku ni finished product...perfect for Epl, Lacazetta is good but untried kwa Epl hurdles...mark my words, he will struggle big time.....
 
Huyo uliemjibu itakuwa hajui EPL vizuri hao ndio mashabik wa Live Score
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kweli maskin akibahatka
Kupata anasahau hata
Alikotokea
Between United na Gunners nani masikini...[emoji2][emoji2][emoji2]
He laughs better, he who laughs last brother....

Europa league siyo ya spoti spoti....plenty of games with long distances travelling....ni energy draining competition....

With your top 4 position gone....am afraid gunners mtasuburi sana kurudi champions league unless mupitie Europa league which is not guaranteed either......
 
Nimekuuliza, ikiwa timu zote kubwa zikishinda mechi zao against timu ndogo unadhani bingwa atapatikanaje!
 
Ahahahaaaaa....chondechonde musimuuze giroud....kumbuka lacazette anachezea bench timu ya taifa giroud anaanza. Pia musidhani epl ndio league 1 ya ufaransa anakoongoza kufunga vitimu vya hovyohovyo tuu.
Ibra alitoka ufaransa kuzifunga timu ndogo ndogo kama unavyosema, lkn ndiye kinara wa mabao kwa Man U kwa msimu uliokwisha, hapo unamuongelea mchezaji Mzee! Vipi kwa Lacazette? Ukijua kufunga umejua tu!
 
Punguza ushabiki..lete facts za kusuport hisia zako... Hii ni ligi dhaifu sana inayowakutanisha washindwa!
Kigezo cha wingi wa timu sio ubora wa ligi husika! Ndo sababu mara nyingi kombe hili hubebwa na drop out wa champions league! Why?.... ni kwa sababu hukutana na mkusanyiko wa timu dhaifu... Na hutokea mara nyingi drop out wa champions league kukutana hatua za semifinals na hata final.....
Chelsea alitoka kushindwa champions league akaenda kubebwa na hiki kikombe, the same to Man U...
 
Nimekuuliza, ikiwa timu zote kubwa zikishinda mechi zao against timu ndogo unadhani bingwa atapatikanaje!
Hiyo ni unrealistic! Sasa timu kubwa zitashindaje mechi zote kubwa? Yaan, chelsea azipige top six zote nje ndani? Never in epl. Liver last season alishinda mechi nying zaid za topsix, stl akawa namba 4, ubingwa mkuu uko kwa timu ndogo. Fergie husema, u cant afford to loose against likes of burnley af uexpect kuwin ndoo ya ligi kuu. So morinyo anaalijua hilo, na conte analijua hilo hata wenga analjua hilo. Big match ni 50 50, humpig mtu nje ndani... Kizembe
 
SURE sure sure mkuuu...........Ni sahihi kabisa
 
Time will tell....tunasubiri kuwaona dhaifu arsenal wakishinda hilo kombe la madhaifu na kupata nafasi champions league next season maana top 4 ni ndoto.....
 
Ibra alitoka ufaransa kuzifunga timu ndogo ndogo kama unavyosema, lkn ndiye kinara wa mabao kwa Man U kwa msimu uliokwisha, hapo unamuongelea mchezaji Mzee! Vipi kwa Lacazette? Ukijua kufunga umejua tu!
Usimfananishe simba na mwanadamu wewe......
Ibrah kacheza Netherlands, Italy twice, Spain, France na England....kote huko with success...
Unamfananisha na huyo kinda....[emoji1] [emoji1] [emoji1] ....

Wenger alimtaka Ibra kwa majaribio...unajua alijibiwa nini..."Zlatan don't do auditions"......[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hull city na crystal palace zilitetemesha baadhi ya vigogo leo hii wako wapi?

Timu ndogo ndio sehem ya kujichukulia point. Kama hujui mpira uliza Tanzania Simba na Yanga ngazi za ubingwa huwa wanazitolea wapi?
 
Hujui hivyo vitimu vya hovyo ndio vilitoa sare na Manchester na kumkosesha top four, Sasa tumepata wa kuvifunga hivyo vitimu vya hovyo
Maybe hukunielewa mkuu.. sikatai,lukaku ni jembe epl.. hata hivo bado ni flop japokuwa alifunga magoli 25.. manne kati ya hayo 25 ndo kazifunga timu kubwa na moja kati ya manne ilikuwa penalty siku ya mwisho vs arsenal..

Msimu wa 2015/16 alifunga magoli 18 na goli moja kati ya hayo aliifunga liverpool ( kwene draw ya 1-1)..

Sasa assume mnacheza na timu kubwa na mnahitaji muujiza.. kweli utamtegemea lukaku???? ni bora aingie ibrakadabra na magongo yake anayotembelea..huwezi juwa anaeza funga[emoji24]
 
lacazzette ndo habari ya mujini hao akina lukalu bado sana
 
Na kwanza mpaka sasa deal halijakamilika,,, endelezeni maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…