Tuliyokuwa hatuyajui kuhusu LUKAKU na Kujiunga Man United

Lukaku hajafikia hadhi ya kucheza man u.
Atabebeshwa mzigo mkubwa.na akishindwa ni lawama na hapo atapotea kabisa.kama di maria,depay.
Si kweli,

Chelsea walkuwa wanamtaka pia,that depicts his abilities. Lakini pia kama unataka top striker na sokon wanaopatikana ni morata, lukaku, harry kane (kwa kuvizia) lewandosk (not 4 sale)...utakuwa Wa ajabu kutokujaribu kumsajl lukaku. I believe the lad wil produce.
 
Naunga mkono 100%

Lukaku mtu mwingine, hajawai kunichania mkeka
 
Hujui hivyo vitimu vya hovyo ndio vilitoa sare na Manchester na kumkosesha top four, Sasa tumepata wa kuvifunga hivyo vitimu vya hovyo
Hivi Lukaku amezuiwa na mahakama kuzifunga hizo timu kubwa au ni vipi? Halàfu hizo timu kubwa ni zipi mbona niliona amewafunga Man city au hii ni timu ndogo!?
 
Time will tell....tunasubiri kuwaona dhaifu arsenal wakishinda hilo kombe la madhaifu na kupata nafasi champions league next season maana top 4 ni ndoto.....
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Acha uongo wako mbona Manchester united katwaa hiki taji la Europa licha ya kukutana na ajax ambae alidrop kutoka champions League
 
Ulaya hamna majaribio, wenger nae!
 
Sijui kama unajua Mpira,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…