Tuliyokuwa hatuyajui kuhusu LUKAKU na Kujiunga Man United

Lukaku hajafikia hadhi ya kucheza man u.
Atabebeshwa mzigo mkubwa.na akishindwa ni lawama na hapo atapotea kabisa.kama di maria,depay.
Walibebeshwa majukumu wakina Beckham, Nevile Brothers , Giggs Wakiwa makinda wadogo na kubeba kombe la uefa mwaka 1999....


Sembuse Lukaku ambae tangu Mwaka 2014 ametikisa nyavu Mara 68 nyuma Ya Aguero na H. Kane
 
Lukaku hajafikia hadhi ya kucheza man utd.

Everton wanavuta £75 million zao plus potential £15M za nyongeza. Then Lukaku anavuta £350,000 zake swaaafi kabisa each and every week. Dejavu ya Pogba. Hapa kuna ka harufu ka kuibiwa, ingawq Man Utd sasa ni specialists wa kuibiwa, japo watajitetea ati watazifidia kwa kuuza jezi la "Lukakau 9"

Bora hakuja Chelsea aisee. Ngoja sisi tujichukulie Chicharito. Yule dogo anajua sana. Sema tu kina Rooney walikuwa wamembana enzi zile.
 
Hahahahaha naona umeamua kujiliwaza wakati Conte huko kesho ana kikao na wenye team kwanini deal la Lukaku lilifeli..
 
Hahahahaha naona umeamua kujiliwaza wakati Conte huko kesho ana kikao na wenye team kwanini deal la Lukaku lilifeli..
Inaonekana Conte anapimana ubavu na yule boya Emenalo kwenye transfer targets. Hii inaweza kutucost msimu huu mpya.
 
Sawa.tumpe muda.mwezi wa 8.kesho kutwa.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .hawachelewi kumchukia.pale wanaposubiri magoli alaf jamaa hafungi.
 
Hate the games not player...
 
ili uwe bingwa sio lazima ushinde game na man city ,Chelsea,arsenal au Liverpool ni kuhakikisha hizi midtable teams umeshida game zote mfano mzuri last season Liverpool alipoteza game chache dhidi ya timu kubwa but hakushinda ubingwa
 
Woodward the boss jamaa Ana akili nyingi Sana . But really missing Peter Kenyon nae alikuwa na akili Sana.
 

Kama sikosei Liverpool msimu ulioisha ndio kaondoka na pointi nyingi sana kati ya big teams zote. Sasa nenda kaongee maneno yako haya mbele ya Liverpool afu uone watakachokufanya maana watakuchukulia kama unawadhihaki.
 
Ibra alitoka ufaransa kuzifunga timu ndogo ndogo kama unavyosema, lkn ndiye kinara wa mabao kwa Man U kwa msimu uliokwisha, hapo unamuongelea mchezaji Mzee! Vipi kwa Lacazette? Ukijua kufunga umejua tu!

Ibra ni experienced player, huwezi kumlinganisha na LaGazeti. Ibra ameshacheza karibia ligi zote kubwa ulaya
 
Hata wasajili Lukaza wa EPA, hakuna title pale msimu ujao!
 
Pmj

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Ibra alitoka ufaransa kuzifunga timu ndogo ndogo kama unavyosema, lkn ndiye kinara wa mabao kwa Man U kwa msimu uliokwisha, hapo unamuongelea mchezaji Mzee! Vipi kwa Lacazette? Ukijua kufunga umejua tu!
Ibra anatoka ufaransa timu kubwa ya psg na sio lyon baada ya kucheza italy na spain...lacanyeti amecheza lyon akija ase8 ndio club yake kubwa ataishia kushangaa shangaa kama kina sanogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…